Naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi nitapata mashine ya kusagia juice za miwa

heavens

Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
36
Reaction score
29
Habari zenu wana JF, mimi nipo mkoa wa Dar es salaam naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi nitapata mashine ya kusagia juice za miwa zenye uimara na range ya bei zake, pia kwa ambao mshafanya/mnafanya je hii biashara ina faida? na ni sehemu gani nzuri naweza kuiweka ikaniletea faida nzuri? Natanguliza shukrani zangu za dhati, Mungu awabariki
 
Mashine imara nenda sido, Mashine bei rahisi nenda Kkoo mtaa Wa
Gerezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…