Naomba msaada kwenye hili jambo

Naomba msaada kwenye hili jambo

Runner

Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
85
Reaction score
13
Habari wana JF wenzangu,naomba msaada kwenye hii hali niliyonayo kwa takribani miezi miwili,kila ninapokula iwe chakula cha mchana au usiku baada ya nusu saa mapigo yangu ya moyo hunienda mbio sana kiasi kwamba nakosa raha,je hii husababishwa na nini au ni tatizo gani?naomba wenye ufahamu juu ya hili mnisaidie kwani nakosa raha,nawakilisha.
 
Mkuu inaonekana chumvi kwako ni tatizo kutokana high blood pressure. Jaribu kupunguza matumizi ya chumvi au ukiweza acha kabisa.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu, kapime pumu/asthma, pia jitahidi kila NUSU SAA KABLA YA KULA UNYWE MAJI GLASI 2.
 
Naomba ufanfanue zaidi jinsi unavyojisikia ukiwachilia mbali mapigo ya moyo kuongezeka baada ya mlo!!
 
Nikweli nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa chumvi lakini nna muda sijaitumia,lakini asante sana kwa ushauri wako mkuu ntajitahidi kuacha kabisa matumizi ya chumvi
 
Mkuu, kapime pumu/asthma, pia jitahidi kila NUSU SAA KABLA YA KULA UNYWE MAJI GLASI 2.

Asante Fadhili,hili jambo la athma nilishawahi kufanya full body check up lakini sikuonekana kuwa na hilo tatizo,maji nilishawahi pia kushauriwa kunywa maji kwa wingi na najitahidi sana kunywa maji kwa wingi sana lakini bado hii hali inaendelea
 
Naomba ufanfanue zaidi jinsi unavyojisikia ukiwachilia mbali mapigo ya moyo kuongezeka baada ya mlo!!

Yaani zaidi ya hiyo hali niliyoisema ya mapigo ya moyo kuongezeka baada ya mlo hakuna hali nyingine yoyote ninayoisikia,na huwa inachukua muda mrefu sana kutulia,kama ni usiku basi labda mpaka ntakapolala nikiamka najikuta nipo normal ile hali inakuwa imetoweka
 
Back
Top Bottom