Runner
Member
- Feb 7, 2011
- 85
- 13
Habari wana JF wenzangu,naomba msaada kwenye hii hali niliyonayo kwa takribani miezi miwili,kila ninapokula iwe chakula cha mchana au usiku baada ya nusu saa mapigo yangu ya moyo hunienda mbio sana kiasi kwamba nakosa raha,je hii husababishwa na nini au ni tatizo gani?naomba wenye ufahamu juu ya hili mnisaidie kwani nakosa raha,nawakilisha.