Habari wana JF wenzangu,naomba msaada kwenye hii hali niliyonayo kwa takribani miezi miwili,kila ninapokula iwe chakula cha mchana au usiku baada ya nusu saa mapigo yangu ya moyo hunienda mbio sana kiasi kwamba nakosa raha,je hii husababishwa na nini au ni tatizo gani?naomba wenye ufahamu juu ya hili mnisaidie kwani nakosa raha,nawakilisha.
Naomba ufanfanue zaidi jinsi unavyojisikia ukiwachilia mbali mapigo ya moyo kuongezeka baada ya mlo!!Habari wana JF wenzangu,naomba msaada kwenye hii hali niliyonayo kwa takribani miezi miwili,kila ninapokula iwe chakula cha mchana au usiku baada ya nusu saa mapigo yangu ya moyo hunienda mbio sana kiasi kwamba nakosa raha,je hii husababishwa na nini au ni tatizo gani?naomba wenye ufahamu juu ya hili mnisaidie kwani nakosa raha,nawakilisha.
Mkuu inaonekana chumvi kwako ni tatizo kutokana high blood pressure. Jaribu kupunguza matumizi ya chumvi au ukiweza acha kabisa.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu, kapime pumu/asthma, pia jitahidi kila NUSU SAA KABLA YA KULA UNYWE MAJI GLASI 2.
Naomba ufanfanue zaidi jinsi unavyojisikia ukiwachilia mbali mapigo ya moyo kuongezeka baada ya mlo!!