donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Kwa kweli name nimefuatilia sijaelewa kabisa! tena linaweza toa ujumbe negative inaweza kuwa hasra kwa tigo!Wakuu,
Hili tangazo la tigo ambalo ameigiza joti na Natasha nimeshindwa kabisa kupata logic yake, mara joti kapigiwa simu na Mke wake ambaye ni Natasha yuko ndani anamwuuliza nani ni no.1 wake af then joti anakua anazuga anaongea na mtu mwingine. Yaan sielewi walitaka kumaanisha nini pale
Kwakweli halieleweki mkuuKwa kweli name nimefuatilia sijaelewa kabisa! tena linaweza toa ujumbe negative inaweza kuwa hasra kwa tigo!
Kumbe ndomana mkuuKupa clip hapo ilibidi ianze kabla ya hiyo, walikosea wakatoa hiyo kabla ya ile ndio maana ni vigumu kuelewa.
Halina logic Ila kuna mkuu hapo juu kasema limekosewaKumbe tupo wengi...
Nilidhani upeo upeo wangu wa kupambanua unapungua
Kuna jamaa hapo juu anajiita MrIQ Ila am doubting his reasoning kwa maana anajidai amelielewa wakati kuna mkuu kashasema walikosea kuna clip ilitakiwa itangulie kabla ya ileHata mimi pamoja na PhD yangu katika mass communication sikufanikiwa kulielewa tangazo hili na wala sina matumaini ya kulielewa katu huko mbele ya safari, yani ni giza tupu!
Sasa how comes anazuga anaongea na simu wakati tayari yuko online na mke wake na alishapokea simu yake wala hata hajamuweka onholdJoti Ana nyumba ndogo ka save kama no. 1, mke wake kagundua so kaja kumuuliza huyo no. 1 ndo nani? Joti akawa anazuga kuwa yupo busy na Simu!.....all in all matangazo hayawezi kuwa kama Scene za Movie!
Kweli mkuu, ukilinganisha na lile la cocacola ni mbingu na nchi. Teh teh teh...Matangazo nji hii ni janga mabovu