Naomba msaada kwenye hili tangazo la TiGo....!!!

Naomba msaada kwenye hili tangazo la TiGo....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Wakuu,
Hili tangazo la tigo ambalo ameigiza joti na Natasha nimeshindwa kabisa kupata logic yake, mara joti kapigiwa simu na Mke wake ambaye ni Natasha yuko ndani anamwuuliza nani ni no.1 wake af then joti anakua anazuga anaongea na mtu mwingine. Yaan sielewi walitaka kumaanisha nini pale
 
Wakuu,
Hili tangazo la tigo ambalo ameigiza joti na Natasha nimeshindwa kabisa kupata logic yake, mara joti kapigiwa simu na Mke wake ambaye ni Natasha yuko ndani anamwuuliza nani ni no.1 wake af then joti anakua anazuga anaongea na mtu mwingine. Yaan sielewi walitaka kumaanisha nini pale
Kwa kweli name nimefuatilia sijaelewa kabisa! tena linaweza toa ujumbe negative inaweza kuwa hasra kwa tigo!
 
Mwenye kujua tafadhali natamani sana kulielewa
 
Hata mimi pamoja na PhD yangu katika mass communication sikufanikiwa kulielewa tangazo hili na wala sina matumaini ya kulielewa katu huko mbele ya safari, yani ni giza tupu!
Kuna jamaa hapo juu anajiita MrIQ Ila am doubting his reasoning kwa maana anajidai amelielewa wakati kuna mkuu kashasema walikosea kuna clip ilitakiwa itangulie kabla ya ile
 
Joti Ana nyumba ndogo ka save kama no. 1, mke wake kagundua so kaja kumuuliza huyo no. 1 ndo nani? Joti akawa anazuga kuwa yupo busy na Simu!.....all in all matangazo hayawezi kuwa kama Scene za Movie!
Sasa how comes anazuga anaongea na simu wakati tayari yuko online na mke wake na alishapokea simu yake wala hata hajamuweka onhold
 
Silielewag pia sasa hiyo clip ambayo hawajaweka hivi for serious wako serious au that's why bongo Sanaa hatuendelei coz hartujali ubora wajpange wamechemka
 
..simpo tu..kama ulilielewa la mwanzo hilo ni muendelezo wa promotion ya WhatsApp..au hukusikia akimwambia mkewe amtumie kwa WhatsApp...kuzuga kumekuja maana hakujua mkewe yupo karibu(usije uliza kwanini mkewe ampigie wakati yupo karibu)
...all in all,kama alivyosema @Powder,matangazo hayawezi kuwa kama scene za movie!
 
Kumbe tuko wengi tuliotoka chaka kwenye Hilo tangazo
 
Nilidhani ni mimi mwenyewe. Ujumbe waliotaka kuufikisha haujafika
 
Back
Top Bottom