Naomba msaada kwenye hili tangazo la TiGo....!!!

Ila wwnzetu kama Kenya naona wako vizuri zaidi kuliko sisi
 
Joti alikuwa chumbani na Natasha, akachomoka na kuelekea sebuleni ili aka whatsapp... Natasha akafungua whatsapp yake na kuona Joti yupo online... Ndiyo akampigia na kumuliza... nani number moja wake... hao kwenye whatsapp au yeye aliyemuacha chumbani...
 
Hapo mkuu umetoa mwangaza flani, sasa kwann joti ajifanye anaongea na mtu mwingine wakat ni mkewe ndo yuko on call na cm haijakatika
 
Hata mimi pamoja na PhD yangu katika mass communication kutoka chuo kikuu cha Yale (USA) sikufanikiwa kulielewa tangazo hili na wala sina matumaini ya kulielewa katu huko mbele ya safari, yani ni giza tupu!
Asante mkuu kwa kutujulisha kwamba una phd!
 
Kwa ufupi wala hamna mwanamke wa pembeni kwa Joti. Ni kwamba mazungumzo yote na mke wake Joti alitaka wayafanye Whatsapp, ndio maana hata alipokuja mkewe ye akasema, NITUMIE WHATSAPP, akimaanisha Natasha amtumie alichotaka kusema kwake kupitia whatsapp!
 
Kidogo inaleta mantiki
 
Hapo mkuu umetoa mwangaza flani, sasa kwann joti ajifanye anaongea na mtu mwingine wakat ni mkewe ndo yuko on call na cm haijakatika
Joti aliendelea kuongea kwa maana huduma ya watsap ni bure na ni bei rahisi so kama Natasha anataka kuuliza atajibiwa watsap maana ni free endapo ukijiunga na bando ya tigo
 
Kwa kweli name nimefuatilia sijaelewa kabisa! tena linaweza toa ujumbe negative inaweza kuwa hasra kwa tigo!

Wamechanganyikiwa Ay na Fa wanawadai hela ya maana
 
kwa kusema kwenu Hilo tangazo la TIGO hamulielewi tayari mshawatangaza na wao ndio dhumuni Lao...muelewe Kwani tamthilia hiyo?
umzalwane Bengifuna ngingenzi cala kodwa angiboni ukucabanga kwakho umthamo
 
Moja ya tangazo bora sana kwa sasa,naamini kila likitokea tena wengi mnaliangalia tena ili mgundue maana
 
Hapo mkuu umetoa mwangaza flani, sasa kwann joti ajifanye anaongea na mtu mwingine wakat ni mkewe ndo yuko on call na cm haijakatika


Sasa si anamzuga mkewe ili mambo yapite. Alishanuniwa mara ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…