MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wwnzetu kama Kenya naona wako vizuri zaidi kuliko sisi..simpo tu..kama ulilielewa la mwanzo hilo ni muendelezo wa promotion ya WhatsApp..au hukusikia akimwambia mkewe amtumie kwa WhatsApp...kuzuga kumekuja maana hakujua mkewe yupo karibu(usije uliza kwanini mkewe ampigie wakati yupo karibu)
...all in all,kama alivyosema @Powder,matangazo hayawezi kuwa kama scene za movie!
ukichwa wake ni nini wewe ndio bwege kweli,jamaa ameuliza swali la msingi sana wewe umekazana joti kichwa,hivi unajielewa kweli wewe...Joti kichwaa ww kam ujaelewa utabak ivoivo
mbona haina frem?
...hilo ni dhahiri.,ila ni mada nyingine sasa!Ila wwnzetu kama Kenya naona wako vizuri zaidi kuliko sisi
Ni Kwel...hilo ni dhahiri.,ila ni mada nyingine sasa!
Hapo mkuu umetoa mwangaza flani, sasa kwann joti ajifanye anaongea na mtu mwingine wakat ni mkewe ndo yuko on call na cm haijakatikaJoti alikuwa chumbani na Natasha, akachomoka na kuelekea sebuleni ili aka whatsapp... Natasha akafungua whatsapp yake na kuona Joti yupo online... Ndiyo akampigia na kumuliza... nani number moja wake... hao kwenye whatsapp au yeye aliyemuacha chumbani...
Asante mkuu kwa kutujulisha kwamba una phd!Hata mimi pamoja na PhD yangu katika mass communication kutoka chuo kikuu cha Yale (USA) sikufanikiwa kulielewa tangazo hili na wala sina matumaini ya kulielewa katu huko mbele ya safari, yani ni giza tupu!
Kidogo inaleta mantikiKwa ufupi wala hamna mwanamke wa pembeni kwa Joti. Ni kwamba mazungumzo yote na mke wake Joti alitaka wayafanye Whatsapp, ndio maana hata alipokuja mkewe ye akasema, NITUMIE WHATSAPP, akimaanisha Natasha amtumie alichotaka kusema kwake kupitia whatsapp!
Joti aliendelea kuongea kwa maana huduma ya watsap ni bure na ni bei rahisi so kama Natasha anataka kuuliza atajibiwa watsap maana ni free endapo ukijiunga na bando ya tigoHapo mkuu umetoa mwangaza flani, sasa kwann joti ajifanye anaongea na mtu mwingine wakat ni mkewe ndo yuko on call na cm haijakatika
Kwa kweli name nimefuatilia sijaelewa kabisa! tena linaweza toa ujumbe negative inaweza kuwa hasra kwa tigo!
umzalwane Bengifuna ngingenzi cala kodwa angiboni ukucabanga kwakho umthamokwa kusema kwenu Hilo tangazo la TIGO hamulielewi tayari mshawatangaza na wao ndio dhumuni Lao...muelewe Kwani tamthilia hiyo?
We umelielewa?kwa kusema kwenu Hilo tangazo la TIGO hamulielewi tayari mshawatangaza na wao ndio dhumuni Lao...muelewe Kwani tamthilia hiyo?
Hapo mkuu umetoa mwangaza flani, sasa kwann joti ajifanye anaongea na mtu mwingine wakat ni mkewe ndo yuko on call na cm haijakatika