Naomba msaada kwenye hili tangazo la TiGo....!!!

me nachekaga tu ila tangu first day sijalielewa na sitokuja kulielewa
 
Lile tangazo linatangaza neno 'kubebika' kuliko Ujumbe uliokusudiwa..
Anyaway tiGo huusishwa na mambo ya kiTigo Tigo.
 
Kuna lile la godoro jamaa anamuuliza eti we ni monarisa kisha anajijibu eee we ni monarisa mm ni shabiki wako sasa ndio nini matangazo ya bongo hovyo sana
 
Hata mimi pamoja na PhD yangu katika mass communication kutoka chuo kikuu cha Yale (USA) sikufanikiwa kulielewa tangazo hili na wala sina matumaini ya kulielewa katu huko mbele ya safari, yani ni giza tupu!
Duhh kwa makapuku ndio kapa kabisa,
 
Hapo mkuu umetoa mwangaza flani, sasa kwann joti ajifanye anaongea na mtu mwingine wakat ni mkewe ndo yuko on call na cm haijakatika
Yaaan mm nishawekaga huuu thread humu lakini jibu hakuna kabisa
 
Tofaut mkuuuu
 
Yaaaan at the end,ukweli wanao wazeee wa kubebika_tigo
 
Hapo mkuu umetoa mwangaza flani, sasa kwann joti ajifanye anaongea na mtu mwingine wakat ni mkewe ndo yuko on call na cm haijakatika
Mimi nadhani alivyostuka alifikiri anaongea na mtu mwingine na si mkewe,ndio maana akapotezea hallo hallo nitumie Whatsap coz kabla hajapokea cm alikuwa yuko na picha nyingi za michepuko.
 
Tangazo nalo ni kitu cha kuzingatia kiasi kweli watz wenzangu?
 
Nilidhani ni mimi mwenyewe. Ujumbe waliotaka kuufikisha haujafika

yani nahisi wengi hatujalielewe ila wanaliacha tu coz wametumia hela nyingi kulitengeneza. Kila tukiliangaliaga home nasema Tanzania watu wa marketing hakuna yani ZERO. Matangazo mengi hayavutii wateja yani hayako creative at all kama haya ya Ivory cocoa ya Majuto, Ya TiGo...zero kabisa
 
Yaani wewe ni kama mie..lile Tangazo wamepotea kabisa..maana sielewi kabisaaaaaaaaaaa
 
MI napenda tu Ile 'wakati wa kubebika deka nikudekeze' lol
 
Tangazo nalo ni kitu cha kuzingatia kiasi kweli watz wenzangu?
Tangazo ni among marketing strategy mkuu, unafikiri how can u reach more customers kama una poor advertising? Kuna Wateja wengine (potential customers) huwezi kuwashawishi bila adverts za uhakika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…