Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha tu wengime nachekaga tu ila tangu first day sijalielewa na sitokuja kulielewa
Duhh kwa makapuku ndio kapa kabisa,Hata mimi pamoja na PhD yangu katika mass communication kutoka chuo kikuu cha Yale (USA) sikufanikiwa kulielewa tangazo hili na wala sina matumaini ya kulielewa katu huko mbele ya safari, yani ni giza tupu!
Yaaan mm nishawekaga huuu thread humu lakini jibu hakuna kabisaHapo mkuu umetoa mwangaza flani, sasa kwann joti ajifanye anaongea na mtu mwingine wakat ni mkewe ndo yuko on call na cm haijakatika
Tofaut mkuuuuKwa ufupi wala hamna mwanamke wa pembeni kwa Joti. Ni kwamba mazungumzo yote na mke wake Joti alitaka wayafanye Whatsapp, ndio maana hata alipokuja mkewe ye akasema, NITUMIE WHATSAPP, akimaanisha Natasha amtumie alichotaka kusema kwake kupitia whatsapp!
Mimi nadhani alivyostuka alifikiri anaongea na mtu mwingine na si mkewe,ndio maana akapotezea hallo hallo nitumie Whatsap coz kabla hajapokea cm alikuwa yuko na picha nyingi za michepuko.Hapo mkuu umetoa mwangaza flani, sasa kwann joti ajifanye anaongea na mtu mwingine wakat ni mkewe ndo yuko on call na cm haijakatika
Mkuu wwe umeitoa wapi hyo boss. Au uko tgo info zote mkononiKupa clip hapo ilibidi ianze kabla ya hiyo, walikosea wakatoa hiyo kabla ya ile ndio maana ni vigumu kuelewa.
Nilidhani ni mimi mwenyewe. Ujumbe waliotaka kuufikisha haujafika
Yaani wewe ni kama mie..lile Tangazo wamepotea kabisa..maana sielewi kabisaaaaaaaaaaaWakuu,
Hili tangazo la tigo ambalo ameigiza joti na Natasha nimeshindwa kabisa kupata logic yake, mara joti kapigiwa simu na Mke wake ambaye ni Natasha yuko ndani anamwuuliza nani ni no.1 wake af then joti anakua anazuga anaongea na mtu mwingine. Yaan sielewi walitaka kumaanisha nini pale
Tangazo ni among marketing strategy mkuu, unafikiri how can u reach more customers kama una poor advertising? Kuna Wateja wengine (potential customers) huwezi kuwashawishi bila adverts za uhakika!Tangazo nalo ni kitu cha kuzingatia kiasi kweli watz wenzangu?