Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

Risiti ya ina faida gani hapo.....la.muhimu ni mama na mtoto
 
wala hiyo dawa haitatumika waliitaka tu hela.
 
Pole sana
 
Jamani mama na mtoto wanaendeleaje mleta mada!
 
hyu jamaa wa nchi gani ? dokta dawa anayo kwenye mfuko wa koti .badala atoe hela anazunguka dar nzima


binafsi kaniudhi jaman ! ngj nisiandike chchote !yaan mkeo amepitiliza siku kama 7 wewe unakuja kuomba ushauri humu kweli !jaman mie angekuwa mume wangu huyu asingepakata kachanga kangu kwa mwezi ! kwanza tu kupitiliza siku moja ni km umetwisha magunia kumi mgongoni !hujiwez kitu kugeuka shida kula shida kila kitu shida uwiii ! nadhan ni mtoto wa kwanza on top of that huyu hajui kbs nchi yetu ilivyo ! yaan kanikeraaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…