BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Risiti ya ina faida gani hapo.....la.muhimu ni mama na mtotonashukuru sana wakuu kwa msaada wenu dawa imepatikana kwa msaada wa mhudumu wa hapa imegarimu 50000! sijajua ni halali au la maana hata risiti sijaewa.
lakini yote ya yote ajifungue tuu. uzazi umekua mgumu sana aisee unaweza kusema kuzaa njambo lisilo na maana kabisa.!