pricaso
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 247
- 295
Habari zenu waungwana, aisee Nina tatizo la mguu inawasha kwwnye unyao, mpaka inanikosesha pozi sasa, nimekuja hapa kutafuta msadaa kuna watu wanajua mambo mengi, na hata kuyatolea ufumbuzi, kwani Leo ni siku ya tatu,
Naombeni msada tafadhali
Cc.Mshana Jr.
Naombeni msada tafadhali
Cc.Mshana Jr.