nzikudaima
Senior Member
- May 27, 2017
- 180
- 91
Tatizo la kubleed akiwa mjamzito anaweza tumia primolut sindano pia nishauri apime urinalysis ili Kujua Kama Ana U.T.I
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua ni sindano moja tu...laki 4 sindano moja au dozi mpaka ajifungue...RH factor ni magonjwa gani na yanatokana na nini?
asante sana ntafanya hivyoNajua ni sindano moja tu...
Japo si mtaalamu wa afya ila kwa kifupi rhesus factor ni zile + na - katika blood group (wataalamu watakueleza zaidi)
Kwahiyo Kama mkeo ni blood group O- afu wewe O+ basi mimba zinakua zinaharibika, mara nyingi mtoto wa Kwanza tu ndo anakua mzima wengine wanakufa au mimba zinaharibika, hivo mama huwa anachoma hiyo sindano then mambo yanakua sawa.
Japo shallow explanation ila hope umepata picha, nenda na mkeo hospitali mkapime na kuambiwa tatizo, muende wote usisubiri wife mama akusimulie, Pole.
Kumbe ushaelezea vizuri kabisa.Kama ana group lolote la damu lenye -neg hilo ni tatizo nendeni hospital mpate ushauri zaidi.
Najua ni sindano moja tu...