Naomba msaada,mke wangu amekuwa na tatizo la mimba kuaribika

Tatizo la kubleed akiwa mjamzito anaweza tumia primolut sindano pia nishauri apime urinalysis ili Kujua Kama Ana U.T.I
 
laki 4 sindano moja au dozi mpaka ajifungue...RH factor ni magonjwa gani na yanatokana na nini?
Najua ni sindano moja tu...
Japo si mtaalamu wa afya ila kwa kifupi rhesus factor ni zile + na - katika blood group (wataalamu watakueleza zaidi)
Kwahiyo Kama mkeo ni blood group O- afu wewe O+ basi mimba zinakua zinaharibika, mara nyingi mtoto wa Kwanza tu ndo anakua mzima wengine wanakufa au mimba zinaharibika, hivo mama huwa anachoma hiyo sindano then mambo yanakua sawa.
Japo shallow explanation ila hope umepata picha, nenda na mkeo hospitali mkapime na kuambiwa tatizo, muende wote usisubiri wife mama akusimulie, Pole.
 
asante sana ntafanya hivyo
 
Kama ana group lolote la damu lenye -neg hilo ni tatizo nendeni hospital mpate ushauri zaidi.
 
Nilikuja ku comment
Kama ana group lolote la damu lenye -neg hilo ni tatizo nendeni hospital mpate ushauri zaidi.
Kumbe ushaelezea vizuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…