Niliibiwa fedha account ya benk baada ya kufuatilia mtuhumiwa nilimkamata na kumpeleka Polisi ndugu wa mtuhumiwa waliomba tuyamalize pale polisi kabla ya kufika juu zaidi tulikubaliana tarehe ya kunilipa fedha zangu sh laki sita na nusu.
Tarehe husika ilipofika walikuwa wamepata kiasi cha sh laki nne na ilibaki laki mbili na nusu alitakiwa anilipe kiasi hicho tarehe 15/2/2018 cha kushangaza tarehe imefika ananiambia hana pesa, naomba ushauri nifanyeje kisheria?