Naomba msaada najisikia kama kiti kimekwama shingoni

Naomba msaada najisikia kama kiti kimekwama shingoni

Aminakizuguto

New Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Habari ya kazi wana jmii,

Nimekuja kujiuliza nilimepatwa na ugonjwa ilianza kama tonses nikaend hospitali nikaambiwa minyoo imejenga shingoni, nikapewa dawa haikunisaidia.

Nikaenda hospitali ya pili nikaandikiwa sindano za gender misen na crespen azikunisaidia mwenye kujua or mwenye kujua matibabu yake anishauri kitu kinanikaba kwenye koo muda mwingin napat vichembechembe vya njano vyenye harufu mbaya.

asanteni
 
Pole sana mkuu, wahi mapema kacheki Kansa (God forbid) katika stage za awali kabla haijawa stage za hatari zaidi

Anko wangu nae (RIP) alikua na tatizo kama lako, alihisi ni tonses akatumia dawa zote hadi sindano za Antibiotics ila tatizo likawa linapungua siku mbili baadae linarudi tena.

Mwishowe akawa hawezi kula chakula bila kusukumizia na maji.

Wahi mapema mkuu. All da best na Mungu akuepushie na hilo tatizo iwe tu ni ugonjwa mwingine.
 
ni kukwama tu au kuna maumivu pia?
Vipi ukiwa unaongea sauti iko sawa na vipi kuuma?
 
Aminakizuguto, We ni jinsia gan?
Umri wako pia?
Je unatumia vilevi au sigara?
Vipi kuhusu kunyonya nyeti za mwenzi wako?
 
Nenda hospitali wakavitumbue hivyo VIDUDE VYA NJANO VIMEGANDA NA KUZAMA KWENYE PEMBE ZA KOO.(tonsil stones)

Vinatumbuliwa vizuri tu.
 
Tonsil stones zinasababishwa na uchafu wa mabaki ya vyakula na mate mate, ambapo vinaunda vijitu vidogo dogo kama vimawe vilaini vya rangi ya njano vinavyojizamisha kwenye nyama za pembe za koo au nyuma ya koo.
 
Back
Top Bottom