poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 453
- 175
Mambo JF sasa nataka kuinstal ubuntu au linux. Naomba kujua namna ya kuinstal na pc iwe na sifa ipi na je naweza kuinstal ubuntu/linux ktk pc yenye winXP na je ubuntu/linux naweza kuinstal program nyingine.Nini faida au hasara ya kuwa na ubuntu/linux? Wadau naomba msaada wenu