Naomba msaada namna ya kusafirisha mizigo kutoka Nigeria

Naomba msaada namna ya kusafirisha mizigo kutoka Nigeria

1kg = US $28
Mzigo utaniletea Mji wa Ikeja ( MMI Airport Road)
  • Na utafikishwa Dar.
  • Utapewa tracking number mzigo kabla ya uondoka Nigeria
  • NB: Mzigo ukifika nchini utafuta taratibu zote za clearance na utawajibika kulipa kodi TRA.
Ghali
 
Mr uche company ila mzigo wako utapokelea Nairobi ndio uje tz wapo vzr San bei nafuu
 
Back
Top Bottom