Mkuu nisaidie Sheria inasemaje maana huu ni mwaka wapili notice ya mdomo wamegoma kutoka.Haupo siriazi
Siku zote hakuna mpangaji jeuri mbele ya mwenye nyumba
Hao ni wapangaji sio nduhuzo
Kitendo cha mpangaji kutolipa kodi tayari keshajifukuzisha sijui unasubiri nii zaidi ya kuwaandikia notisi ya kuhama
Inaonekana mzembe sana
Dont force me to hate you.Nakuomba Mkuu kwa huruma Kuu, usiwafukize watanzania wenzio maskini. Kuna changamoto kadhaa imewafanya wasikulipe kwa wakati.
Waeleze tu jinsi unavyojiskia vibaya kucheleweshewa kodi yako na mazingira ya uchafu. Wakanye kwanza. Mungu akupe moyo wa subra.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni nyumba ya biashara au danguloWe tutaishia kulana staki.
Wape Notisi ya mwezi mmoja ya kuondoka notisi hiyo ipitie kwa mjumbeJamani naomba msaada niwwfukuzeje wapangaji wa aina hii kwenye nyumba yangu.
1.Mmoja hajalipa kodi miezi mitano
2.Wapili hajalipa miezi miwili
3.Amemaliza juzi baada ya kukaa miezi minne bila kulipa Kodi.
Juu ya yote ni wachafu sana mpaka nyumba yangu mimingreatthinker mwenzenu naionea aibu.
Mbaya zaidi mimi sikai nao na Niko mbali kwahiyo wanatake hiyo advantage kunilipa miezi watakayo.
Nyumba iko dar namimi niko mbali sana hivyo ufwatiliaji wa karibu unakuwa mgumu.sana.
Siwataki kabisa Yani ningeweza wangeondoka hata usiku huu.
Ndugu yangu aliepo hapo dar ana mitkas yake mingi hivyo hana muda wakuwafwatikia.
Naomba msaada niwafukuzeje?
Kuna njia kadhaa za kufanya.
1/Leta fundi ili akate huduma za umeme na maji kama yapo. Ng'oa kabisa miundombinu.
2/Leta fundi wa mbao, jifanye unarekebisha paa, ng'oa sehemu ya paa, paache wazi halafu sepa zako.
Makonda amewaambia wasilipe kodi kipindi hiki cha COVID-19.
Duh kuna wapikasumu humu duh sijawahi kuona[emoji23][emoji23][emoji23]
Kisheria kutolipa kodi miezi hiyo 3-5) tayari wamekiuka mkataba(labda umewapangisha kwa mdomo)Mkuu nisaidie Sheria inasemaje maana huu ni mwaka wapili notice ya mdomo wamegoma kutoka.
Chukua yai la bata, liandike kama kiarabu kutumia damu ya kuku. Chukua nazi tatu, moja indoe manyoya halafu nayo iandike kiarabu. Pasua nazi moja, chukua gunzi halafu livishe kitambaa cheuzi chini na chekundu juu. Hivyo vyote kaviweke chooni kwenye ungo Mpya usiku wa manane ili wakutane navyo asbh wakiingia chooni.
Nishukuru baadae