Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasubiri nini kuwatimua?Jamani naomba msaada niwwfukuzeje wapangaji wa aina hii kwenye nyumba yangu.
1.Mmoja hajalipa kodi miezi mitano
2.Wapili hajalipa miezi miwili
3.Amemaliza juzi baada ya kukaa miezi minne bila kulipa Kodi.
Juu ya yote ni wachafu sana mpaka nyumba yangu mimingreatthinker mwenzenu naionea aibu.
Mbaya zaidi mimi sikai nao na Niko mbali kwahiyo wanatake hiyo advantage kunilipa miezi watakayo.
Nyumba iko dar namimi niko mbali sana hivyo ufwatiliaji wa karibu unakuwa mgumu.sana.
Siwataki kabisa Yani ningeweza wangeondoka hata usiku huu.
Ndugu yangu aliepo hapo dar ana mitkas yake mingi hivyo hana muda wakuwafwatikia.
Naomba msaada niwafukuzeje?
Hata mimi nimejiuliza hivyo. Inabidi uwe na mkataba wenye vipengele vinavyombana mpangaji kama malipo kwa wakati na akishindwa hatua gani zitachukuliwa. Pia hata mambo ya usafi yanatakiwa yawepo kwenye mkataba na pia mwenye nyumba unaweka kipengele kuwa kama ukiona inafaa unaweza kusitisha mkataba kwa mpangaji kwa kumpa notisi ya miezi mitatu kabla mkataba wake wa awali haujaishaKwani hukuwapa mikataba.
Hapo ili pande mbili zisiumie Fanya hivi ,tengeneza mikataba ya miezi 3 halafu unawapa notice ya kuwaambia kwamba mpaka tarehe flani nyumba itafanyiwa ukarabati hivi wanalazimika kuondoka kwenye nyumba yako,kabla hujafanya hivyo hakikisha wote wamelipa kwanza kwa kuwachukulia hatua za kisheria vinginevyo ukubali hasara.Mkuu nisaidie Sheria inasemaje maana huu ni mwaka wapili notice ya mdomo wamegoma kutoka.
Niko km 3000 toka Dar sasa wameniakisi vipi hata huyo niliemkabidhi ni Mambo safi sio kitoto labda uniambie umbali wangu na ubize wa jamaa niliemkabidhi ila sio uchafu.Ukishaanza kuona Wapangaji hawakulipi Kodi na wanakusumbua jua hata wao pia wameshaanza Kukudharau na wameona Udhaifu ndani yako. Na vile vile ukiona Wapangaji ni Wachafu jua ya kwamba kuna uwezekano mkubwa tu wakawa wameuakisi huo Uchafu walionao kutoka kwa ama mwenye Nyumba wao au wana Familia wake.
Hata mimi nimejiuliza hivyo. Inabidi uwe na mkataba wenye vipengele vinavyombana mpangaji kama malipo kwa wakati na akishindwa hatua gani zitachukuliwa. Pia hata mambo ya usafi yanatakiwa yawepo kwenye mkataba na pia mwenye nyumba unaweka kipengele kuwa kama ukiona inafaa unaweza kusitisha mkataba kwa mpangaji kwa kumpa notisi ya miezi mitatu kabla mkataba wake wa awali haujaisha
Huyu mwenye nyumba anaogopa kuwafukuza atapoteza kodi ya miezi waliyokaa bure, kumbe kuendelea kukaa nao ndio hasara zaidiHaupo siriazi
Siku zote hakuna mpangaji jeuri mbele ya mwenye nyumba
Hao ni wapangaji sio nduhuzo
Kitendo cha mpangaji kutolipa kodi tayari keshajifukuzisha sijui unasubiri nii zaidi ya kuwaandikia notisi ya kuhama
Inaonekana mzembe sana
Nenda kawaambie kesho unaiuza hiyo nyumba atakaebaki huko ndani nae unamuuzaJamani naomba msaada niwwfukuzeje wapangaji wa aina hii kwenye nyumba yangu.
1.Mmoja hajalipa kodi miezi mitano
2.Wapili hajalipa miezi miwili
3.Amemaliza juzi baada ya kukaa miezi minne bila kulipa Kodi.
Juu ya yote ni wachafu sana mpaka nyumba yangu mimingreatthinker mwenzenu naionea aibu.
Mbaya zaidi mimi sikai nao na Niko mbali kwahiyo wanatake hiyo advantage kunilipa miezi watakayo.
Nyumba iko dar namimi niko mbali sana hivyo ufwatiliaji wa karibu unakuwa mgumu.sana.
Siwataki kabisa Yani ningeweza wangeondoka hata usiku huu.
Ndugu yangu aliepo hapo dar ana mitkas yake mingi hivyo hana muda wakuwafwatikia.
Naomba msaada niwafukuzeje?
Jamani naomba msaada niwwfukuzeje wapangaji wa aina hii kwenye nyumba yangu.
1.Mmoja hajalipa kodi miezi mitano
2.Wapili hajalipa miezi miwili
3.Amemaliza juzi baada ya kukaa miezi minne bila kulipa Kodi.
Juu ya yote ni wachafu sana mpaka nyumba yangu mimingreatthinker mwenzenu naionea aibu.
Mbaya zaidi mimi sikai nao na Niko mbali kwahiyo wanatake hiyo advantage kunilipa miezi watakayo.
Nyumba iko dar namimi niko mbali sana hivyo ufwatiliaji wa karibu unakuwa mgumu.sana.
Siwataki kabisa Yani ningeweza wangeondoka hata usiku huu.
Ndugu yangu aliepo hapo dar ana mitkas yake mingi hivyo hana muda wakuwafwatikia.
Naomba msaada niwafukuzeje?
Duuu, asepe na paa? Watu wanasepa na kijiji sio paa mkuuKuna njia kadhaa za kufanya.
1/Leta fundi ili akate huduma za umeme na maji kama yapo. Ng'oa kabisa miundombinu.
2/Leta fundi wa mbao, jifanye unarekebisha paa, ng'oa sehemu ya paa, paache wazi halafu sepa zako.
Hata mimi naitaka hii tenda mkuuNaomba nipe jukumu la kuwafwatilia na kuwafukuza...kila mpangaji utanipa 30tshs kwahyo 30*3wapangaji=90tshs +10tshs ya usafir jumla=100Tshs boss nyumba yako inakuwa haina wachafuz wa mazngira..
Sent using Jamii Forums mobile app
Km 3000? Uko nje ya nchi..Niko km 3000 toka Dar sasa wameniakisi vipi hata huyo niliemkabidhi ni Mambo safi sio kitoto labda uniambie umbali wangu na ubize wa jamaa niliemkabidhi ila sio uchafu.
Utashitakiwa nao wana haki zaoKuna njia kadhaa za kufanya.
1/Leta fundi ili akate huduma za umeme na maji kama yapo. Ng'oa kabisa miundombinu.
2/Leta fundi wa mbao, jifanye unarekebisha paa, ng'oa sehemu ya paa, paache wazi halafu sepa zako.