Naomba msaada nataka nianze kilimo cha nyanya Wilaya ya Rombo

Lily tom

Member
Joined
Apr 26, 2019
Posts
95
Reaction score
65
Naomba msaada nataka nianze kilomo cha nyanya wilaya ya rombo mwezi wa
Otoba.ekar moja naomba wenye uzoefu au wataalam.aina gani ya mbegu bora kwa ukanda huo na aina ya dawa...karibuni sana mnishauri.
 
Hongera sana ndugu kwa kuwa na wazo
Wengi huanza kama wewe
Mm ni mrombo ila sijawahi kufanya uchunguzi kuhusu kilimo hicho
Pia inategemea na ukanda
Mfano ukanda wa juu ya barabara kuna baridi sana hivyo sikushauri ulime zao hilo
Kama ni chini ya barabara kuna joto
Siyo mbaya kikubwa uwe na chanzo kizuri cha maji na uipende kazi au mradi wako
Kila la kheri
 
Nipo juu ya brbr.kando ya brbr ya kwenda tarekea.nipo tarakea.shamba lipo barabarn kabisa...bomba limepita shambani ni kuunganisha tutu.niko kwenye majaribio lengo langu kubwa ni kufanya kilomo cha green house..ndo ndoto yangu kubwa.
Hongera sana ndugu kwa kuwa na wazo
Wengi huanza kama wewe
Mm ni mrombo ila sijawahi kufanya uchunguzi kuhusu kilimo hicho
Pia inategemea na ukanda
Mfano ukanda wa juu ya barabara kuna baridi sana hivyo sikushauri ulime zao hilo
Kama ni chini ya barabara kuna joto
Siyo mbaya kikubwa uwe na chanzo kizuri cha maji na uipende kazi au mradi wako
Kila la kheri
 
Chunguza bei za nyanya zinavyokua huko mwaka mzima, wapi utauza au utamuuzia nani

Chunguza jinasi ya kuandaa shamba, mbolea, umwagiliaji n.k

Angalia changamoto zake, magonjwa na wadudu ndo wanaweza kukurudisha nyuma zaidi

Mengine wadau wataongezea

Mengine majirani zako wanaolima maeneo hayo watakwambia(hapa uwe makini)

Sasa tumia smartphone yako vizuri humu kuna nyuzi nyingi zinazoongelea nyanya pia search google utapata taarifa nyingi sana
 
Asante sana kwa maelezo na usauri

Back
Top Bottom