Naomba msaada nauli ya Namibia

Naomba msaada nauli ya Namibia

Ni njia rahisi ila kama kuna member anayejua rahisi zaidi na nayoijua atakuambia.

Kwanini nasema hii ni rahisi...
Utakata tiketi Dar... utasafiri hadi tunduma hapo mtasimama maana itakuwa usiku mtalala na process za migration zinafanyika hapo. Baada ya hapo mtaendelea na na safari kwenye usafiri uleule kwenda lusaka.. mtafika lusaka..hapa chukua local buses 30000tsh-35000tsh to livingstone

kwa uzoefu sidhani kama utapata kwa muda huo usafiri direct to windhoek ikitegemea u mgeni. Unakata tiketi kesho unaliunga to windhoek.

So gharama..
Dar to lusaka 120000
kula unajua mwenyewe
Lusaka to livingstone 35000
Livingstone utalala lodge 40000
Livingstone to windhoek 115000-150000
windhoek utafika asubuhi itakuwa ni faida kwako kwa popote unapotaka kwenda.
Ukiwa na 450000 unafika vizuri.
Kaka nashukuru, sana nataka nikatafute maisha kule
 
Katika pita pita zangu Nchi za huko naona Namibia na Ndugu yake Botswana ni pagumu kimaisha wao tuu wanakimbikia SA kutafuta maisha kitambo Namibia tulikua tunapaita mchanga wa chuma hapachimbiki kitu...au mbuzi kalamba reli kupata tuu nauli ya Windhoek mpaka Cape town ilikua inasumbua vijana walikua wanaomba lift za maroli yanayoenda cape town ila kama umeitwa na ndugu yako kashika njia poa ila kwa kuanza maisha pale panasumbua kidogo...
 
Kwa ndege au kwa bus? Kama ni kwa bus, unapanda bus mpaka tunduma tsh 40000 then itabidi ulale maaana utafika tdm saa nne usiku, usiku huo huo gonga passport cause border ni 24hrs, halafu asbh unapanda bus la ki zambia kwenda lusaka nauli yake ni roughly tsh 50000 which means usiku ule utaofika tdm u change kwacha, lusaka utafika saa sita usiku kama ni msafir usichukue lodge lusaka utalala hapo hapo stand yao ya bus inter city its much better than our ubungo, then kesho yake alfajir unapanda bus kwenda sesheke hiyo iko border ya zambia na namibia ni mwendo wa siku nzima naul mpaka kule border ni roughly tsh 40000 you will pass by livingstone then you go sesheke, hapo utalala asbh unakula vi tax ni kama buku mbili mpaka border, sasa sijui unaenda namibia which side???
mkuu asante kwa kumusaidia, lakini nashangaa siku hivi kuna google na watu bado wanauliza maswali kaa hizi, au pengine huyu english ni shinda sijui
 
Mkuu ukiona mtu anauliza mambo yanahusu maisha usijifanye kujua, humu watu wapo wanaishi huko unakouliza inakua rahisi kukupa mbili tatu za huko kwa mtu anaesafiri mara ya kwanza anaeuliza anajua vitu halisi na kukwepa risk ambazo ataambiwa.
 
Namibia kupo vizuri..ukipapatia kuna hela kichizi! Tatzo tu wabongo wanabana sana michongo..lakin matajiri weng wa south pesa yao inaingia ktoka namibia
Katika pita pita zangu Nchi za huko naona Namibia na Ndugu yake Botswana ni pagumu kimaisha wao tuu wanaitafuta SA kitambo Namibia tulikua tunapaita mchanga wa chuma hapachimbiki kitu...au mbuzi kalamba reli kupata tuu nauli ya Windhoek mpaka Cape town ilikua inasumbua vijana walikua wanaomba lift za maroli yanayoenda cape town ila kama umeitwa na ndugu yako kashika njia poa ila kwa kuanza panasumbua kidogo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namibia kupo vizuri..ukipapatia kuna hela kichizi! Tatzo tu wabongo wanabana sana michongo..lakin matajiri weng wa south pesa yao inaingia ktoka namibia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanauza kitu cha Swazi na sembe kipindi fulani ilivuma kuchukua Gari Durban za Japan na kuuza Namibia Gari inapitia Gaborone unatokea kazungura unaitafuta sesheke border Wateja wengi walikuepo hapo walikua wananunua bei kubwa sasa na likifika tuu wanalichukua...
Mimi sio muumini wa hizo biashara haramu ndio maana nasema pale pagumu kidogo,
 
Katika pita pita zangu Nchi za huko naona Namibia na Ndugu yake Botswana ni pagumu kimaisha wao tuu wanakimbikia SA kutafuta maisha kitambo Namibia tulikua tunapaita mchanga wa chuma hapachimbiki kitu...au mbuzi kalamba reli kupata tuu nauli ya Windhoek mpaka Cape town ilikua inasumbua vijana walikua wanaomba lift za maroli yanayoenda cape town ila kama umeitwa na ndugu yako kashika njia poa ila kwa kuanza maisha pale panasumbua kidogo...
Namibia?[emoji44][emoji44]....mbona watu wanakusifia hivoo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanauza kitu cha Swazi na sembe kipindi fulani ilivuma kuchukua Gari Durban za Japan na kuuza Namibia Gari inapitia Gaborone unatokea kazungura unaitafuta sesheke border Wateja wengi walikuepo hapo walikua wananunua bei kubwa sasa na likifika tuu wanalichukua...
Mimi sio muumini wa hizo biashara haramu ndio maana nasema pale pagumu kidogo,
Duuh kwahiyo hakuna mchongo wowote palee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiona mtu anauliza mambo yanahusu maisha usijifanye kujua, humu watu wapo wanaishi huko unakouliza inakua rahisi kukupa mbili tatu za huko kwa mtu anaesafiri mara ya kwanza anaeuliza anajua vitu halisi na kukwepa risk ambazo ataambiwa.
i never pretend to know it all, you got my point very wrong, in todays world you dont need to ask lots of questions, mind you at google you will aslo get lots of comment, far much better than you can get here,so pls try and analyse things a bit before you throw comments, blessings
 
Katika pita pita zangu Nchi za huko naona Namibia na Ndugu yake Botswana ni pagumu kimaisha wao tuu wanakimbikia SA kutafuta maisha kitambo Namibia tulikua tunapaita mchanga wa chuma hapachimbiki kitu...au mbuzi kalamba reli kupata tuu nauli ya Windhoek mpaka Cape town ilikua inasumbua vijana walikua wanaomba lift za maroli yanayoenda cape town ila kama umeitwa na ndugu yako kashika njia poa ila kwa kuanza maisha pale panasumbua kidogo...
umeona eeh nishakaaga oshakati labda he is going on official hustling.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeona eeh nishakaaga oshakati labda he is going on official hustling.

Sent using Jamii Forums mobile app
OK vibali vya wageni wafanye kazi hawatoi zaidi zaidi ilikua refugee paper...harafu Wa Namibia sio wanunuaji kama Zambia,Kwa mtu Mwenye hela kidogo Zambia maeneo mengi sijui Kitwe,Ndola,Lusaka,Living stone kwa bidhaa za Kkoo au SA wananunua sana tuu wao wakipata mshahara cha kwanza ni shopping kila mwezi tofauti na Nchi nyingi za kusini ukiondoa SA wao kila ijumaa siku ya kulipwa ndio wengi wananunua..Botswana wageni hasa Wazimbabwe wamekua wengi na utapeli umeongezeka pamoja na ujambazi napo sio kama kipindi cha nyuma pagumu kidogo...
 
Zambia napakubali..nakumbuka nlibeba handbags nije kuuza bongo.kufika zambia kituon nachkua daladala maana nlitumia usafir wa local passport ilikuwa na tatzo kdogo.

Mfuko si ukachanika handbag zikatoka nje
Weeeee walimwagika wakaka na wadada wanauliza hii biashara nkawambia ndio

Muda ule ule wa dakika 15 nikauza handbags 20 nilishangaa sana .wanaume walisema wanawachukulia wake zao, wadada wa kwenye migahawa walitoka kuja kuchagua
OK vibali vya wageni wafanye kazi hawatoi zaidi zaidi ilikua refugee paper...harafu Wa Namibia sio wanunuaji kama Zambia,Kwa mtu Mwenye hela kidogo Zambia maeneo mengi sijui Kitwe,Ndola,Lusaka,Living stone kwa bidhaa za Kkoo au SA wananunua sana tuu wao wakipata mshahara cha kwanza ni shopping kila mwezi tofauti na Nchi nyingi za kusini ukiondoa SA wao kila ijumaa siku ya kulipwa ndio wengi wananunua..Botswana wageni hasa Wazimbabwe wamekua wengi na utapeli umeongezeka pamoja na ujambazi napo sio kama kipindi cha nyuma pagumu kidogo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu isanga family hujawahi niangusha kwenye hizi issue uko poa sana na nchi za kusini unazjua sana , I hope utakuwa mkinga maana hawa jamaa wanapiga mishe sana kusini hasa zambia
 
Back
Top Bottom