Martin Mhina
Senior Member
- Jul 24, 2013
- 169
- 37
Hii kwa wote bt kuna dada yangu kasomea certifite ya nurseng katika chuo kimoja cha privety na kashapata vyety vyake vya nurseng lakin ana kama mwaka yuko nyumbani hajabahatika kupata tempo wala kuajiliwa so naombeni msaada wenu,maoni ili ajue afanye nin nawasilisha wakuu thanky for that.