Naomba msaada nilinunua TV inaitwa HOMEBASE sasahivi picha Inaonesha Kwa kucheza cheza

Am For Real

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
323
Reaction score
770
Habarini wataalam wa Jamii Forums.Naomba msaada wenu TV yangu ya HOMEBASE yenye Double glass na picha ya HD ready inanisumbua Sana picha inacheza cheza kama mwanga wa disco.Hali hii inanikera hasa unapotaka kuangalia movie mwanga unacheza cheza.

Wataalam naombeni msaada.
 
Chief hapo jichange ununue ingne
 
Source ya input ni ipi ikiwa inacheza? Umejaribu kutumia input tofauti tofauti bado Inacheza? Ulipewa warranty ulipo nunua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…