Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Habarini wataalam wa Jamii Forums.Naomba msaada wenu TV yangu ya HOMEBASE yenye Double glass na picha ya HD ready inanisumbua Sana picha inacheza cheza kama mwanga wa disco.Hali hii inanikera hasa unapotaka kuangalia movie mwanga unacheza cheza.
Wataalam naombeni msaada.
Wataalam naombeni msaada.