Naomba msaada, nimefungiwa WhatsApp yangu

Ungeweza kuwasiliana nao kwa kupitia hiyohiyo App yako inayozingua lakini,
Ili mambo yasiwe mengi fanya yafuatayo:

-Ingia kwenye Website yao (WhatsApp) na shuka chini kabisa,
Tafuta/Ingia Technical Support,
Itakupeleka sehemu ya kuchagua unataka msaada eneo gani,
Chagua WhatsApp Messenger Support,(Mara nyingi inakuwa ndio ya kwanza kwenye hiyo List)
Utaletewa Form ya kujaza taarifa kadhaa ikiwemo Email address, aina ya kifaa unachotumia kuingia WhatsApp,
Namba ya simu yako ambayo umeitumia kujisajili WhatsApp vilevile kuna Ki-Box ambapo wanataka uweke ujumbe (Message) Maana yake hapo useme unahitaji msaada wa aina gani/Uelezee shida yako kwa kifupi.
Hapa usijifanye mzungu sana,
Andika tu kuwa (Wamekufungia na wamefanya hivyo KIMAKOSA)
Na hivyo basi unawaomba wakufungulie (Kwa Lugha ya-Kiinglish) lakini.

Baada ya hapo bonyeza NEXT.

Muda sio mrefu watakutumia ujumbe na-pengine kukufunguli moja wa moja.

KUMBUKA, Hii ni iwapo ni kweli huna makandokando kwenye Matumizi yako.
Kama umeripotiwa wewe kutumia App ndivyosivyo jua inaweza kuwa changamoto.

Nawasilisha.
 
Boss pole sana, sasa hivi hilo tatizo lipo kwa baadhi ya simu... Cha kufanya bonyeza hapo walipoandika CHECK REVIEW STATUS... Wao wata review hiyo ban yako, utasubiri kwa muda wa masaa 24 ndio utaweza kuingia tena kwenye account yako...
 
Boss pole sana, sasa hivi hilo tatizo lipo kwa baadhi ya simu... Cha kufanya bonyeza hapo walipoandika CHECK REVIEW STATUS... Wao wata review hiyo ban yako, utasubiri kwa muda wa masaa 24 ndio utaweza kuingia tena kwenye account yako...
Mm inakataa kabisa kuinstall sjui nifanyeje
 
Mie wamefungia simu yangu mana hata nikibadil namba wanapitanayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…