Naomba msaada, nimefungiwa WhatsApp yangu

Naomba msaada, nimefungiwa WhatsApp yangu

jangos

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
208
Reaction score
231
Nimefungiwa WhatsApp yangu Kwa mda sasa inakua hivi

Naomba msaada

Screenshot_2024-01-06-21-13-20-44.jpg
 
Badilisha line tumia mtandao mwingine kisha wajulishe watu wako
Wamekufungia sababu ya Spam acha kutuma vitu vya hovyo
Itakua ni fitna tu mana sijatuma spam Kwa mtu yeyote
 
Hivi ni kwamba JF hamjui maana ya neno ‘SPAM’ au mnaendekeza ukilaza tu? Jibuni swali lake, mambo ya kutumia GB yanataoka wapi?
 
Badilisha line tumia mtandao mwingine kisha wajulishe watu wako
Wamekufungia sababu ya Spam acha kutuma vitu vya hovyo
Akibadilisha line wanadetect simu ilotumika watafunga tena.
Muhimu bonyeza help ujieleze kuomba kufunguliwa. Km kuna makosa uliyafanya yakiri kuwa ulifanya pasipokujua mfano forwarding nyingi kwa watu wengi
 
Back
Top Bottom