Naomba msaada, nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo katika uume wangu

Naomba msaada, nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo katika uume wangu

Wakati ukiwa unatafuta vipimo sahihi, dawa ya kuondoa vipele vyote tumia BBE (Tsh. 2500-4000) ni ya kupaka, jitahidi uwe msafi sana, oga maji ya vuguvugu, badilisha hizo nguo za ndani kila baada ya masaa sita huku ukipasafisha.
Dawa za kumeza wataalamu watakushauri, pia unywe maji mengi mara kwa mara ili ku-flash hao vijidudu.​
 
Yaweza kuwa kaswende ila mm sio mtaalamu hivyo nenda hospital kubwa wakupime mkojo na damu
Kaswende kapima ndio hiyo VDRL/RPR, kama anaweza kufanya biopsy , ila ni kama ana genital warts japo hajaelezea vizuri tatizo lake, size ya viupele, texture, rangi n.k
 
Wakati ukiwa unatafuta vipimo sahihi, dawa ya kuondoa vipele vyote tumia BBE (Tsh. 2500-4000) ni ya kupaka, jitahidi uwe msafi sana, oga maji ya vuguvugu, badilisha hizo nguo za ndani kila baada ya masaa sita huku ukipasafisha.
Dawa za kumeza wataalamu watakushauri, pia unywe maji mengi mara kwa mara ili ku-flash hao vijidudu.​
Sawa asante
 
Either una fungal infections au genital herpes, lakini nakushauri tuu broo ukienda kwa daktari wako umwambie ukweli wote.
Shida inakuja wagonjwa wengi wanaosumbuliwa na magonjwa ya sehemu za siri huwaga hawasemi ukweli wanaona aibu hata kumwambia daktari wao.
Sawa kaka
 
Broo kama unafanya "unhealthy sexual practices" bora useme kabisa, kama hutaki bac ukienda huko hospital umwambie daktari wako, usione aibu kaka, ukisema itakuwa rahic kwao kupata diagnosis ya tatizo lako kuliko kufichaficha haisaidii kitu.
Sawa mkuu
 
Fika kwenye hospitali kubwa yenye vipimo vya uhakika mkuu,

Tena fanya haraka, hizi hospitali zingine huwa wanapima tu kwa maelezo uliyompa, niliwahi kupima afya nikaambiwa siumwi chochote, wakati mm najiona ni mgonjwa hasaa, kumbe ninatatizo kubwa tu na sasa nipo sawa

Fika hospitali kubwa kupata vipimo vya uhakika, hapa JF utakerekwa tu maana wapo ambao watakudhihaki tu wakati ww unahitaji tiba ya haraka
Asante
 
Kaswende kapima ndio hiyo VDRL/RPR, kama anaweza kufanya biopsy , ila ni kama ana genital warts japo hajaelezea vizuri tatizo lake, size ya viupele, texture, rangi n.k
Nividogo vidogo vinatoka sehem moja kuhusu rangi ndani vinakuwa kama na maji ila ukioga vinakuwa vyeupe
 
Kwa mwanamme au mwanamke mwenye matatizo sugu katika via vyake vya uzazi Mfano PID, UTI, KASWENDE (GONORRHEA) anitafute whatsap kupitia namba 0625519277 Atanishukuru baadae
 
Kwa mwanamme au mwanamke mwenye matatizo sugu katika via vyake vya uzazi Mfano PID, UTI, KASWENDE (GONORRHEA) anitafute whatsap kupitia namba 0625519277 Atanishukuru baadae
Mkuu, ungeweka na gharama ili tujioange kabisa sisi wenye gono sugu la kujitakia..😑
 
Back
Top Bottom