Naomba msaada, nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo katika uume wangu

Wakati ukiwa unatafuta vipimo sahihi, dawa ya kuondoa vipele vyote tumia BBE (Tsh. 2500-4000) ni ya kupaka, jitahidi uwe msafi sana, oga maji ya vuguvugu, badilisha hizo nguo za ndani kila baada ya masaa sita huku ukipasafisha.
Dawa za kumeza wataalamu watakushauri, pia unywe maji mengi mara kwa mara ili ku-flash hao vijidudu.​
 
Yaweza kuwa kaswende ila mm sio mtaalamu hivyo nenda hospital kubwa wakupime mkojo na damu
Kaswende kapima ndio hiyo VDRL/RPR, kama anaweza kufanya biopsy , ila ni kama ana genital warts japo hajaelezea vizuri tatizo lake, size ya viupele, texture, rangi n.k
 
Sawa asante
 
Sawa kaka
 
Broo kama unafanya "unhealthy sexual practices" bora useme kabisa, kama hutaki bac ukienda huko hospital umwambie daktari wako, usione aibu kaka, ukisema itakuwa rahic kwao kupata diagnosis ya tatizo lako kuliko kufichaficha haisaidii kitu.
Sawa mkuu
 
Asante
 
Kaswende kapima ndio hiyo VDRL/RPR, kama anaweza kufanya biopsy , ila ni kama ana genital warts japo hajaelezea vizuri tatizo lake, size ya viupele, texture, rangi n.k
Nividogo vidogo vinatoka sehem moja kuhusu rangi ndani vinakuwa kama na maji ila ukioga vinakuwa vyeupe
 
Kwa mwanamme au mwanamke mwenye matatizo sugu katika via vyake vya uzazi Mfano PID, UTI, KASWENDE (GONORRHEA) anitafute whatsap kupitia namba 0625519277 Atanishukuru baadae
 
Kwa mwanamme au mwanamke mwenye matatizo sugu katika via vyake vya uzazi Mfano PID, UTI, KASWENDE (GONORRHEA) anitafute whatsap kupitia namba 0625519277 Atanishukuru baadae
Mkuu, ungeweka na gharama ili tujioange kabisa sisi wenye gono sugu la kujitakia..😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…