Naomba msaada,Nitamtambuaje msichana kama alishatoa mimba?

Naomba msaada,Nitamtambuaje msichana kama alishatoa mimba?

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Msinitukane tafadhali, ningependa kujua juu ya hili suala maana ishu ya kutoa mimba ina madhara makubwa hasa kama imefanyika zaidi ya mara moja. Ni njia zipi au ni sehemu zipi za kumchunguza uliye naye ili kubaini kama alishafanya huo uovu? Mwenye uelewa tafadhali anijulishe na wengine pia wafahamu maana dunia ya sasa ni noma! Siku hizi kuna artificial bikin! Nimepeleka jf doctor ckupata huko jibu!
 
Hata huku ni ngumu kupata jibu maana ni vigumu kujua, na isitoshe ukimchunguza binadamu kiasi hicho hautaishi nae. pole sana.
 
Duh maswali gani haya sasa...??? Njia rahisi ni kumnusa tumboni kama ashawai beba mimba.
 
Don't go there pse,hujui kama mtoto ni majaliwa!!!!!wapo ambao hawajatoa mimba lakini hazishiki hata kwa bahati.
 
kabla sijajibu swali lako jibu langu UNGEMKUTA NA MTOTO AU WATOTO UNGEMUOA?
 
Msinitukane tafadhali, ningependa kujua juu ya hili suala maana ishu ya kutoa mimba ina madhara makubwa hasa kama imefanyika zaidi ya mara moja. Ni njia zipi au ni sehemu zipi za kumchunguza uliye naye ili kubaini kama alishafanya huo uovu? Mwenye uelewa tafadhali anijulishe na wengine pia wafahamu maana dunia ya sasa ni noma! Siku hizi kuna artificial bikin! Nimepeleka jf doctor ckupata huko jibu!

Ukiuona huu mstari, ujue tayari manyoya huyo.
attachment.php
 
Attachments

  • MSTARI.JPG
    MSTARI.JPG
    19.2 KB · Views: 2,967
Wadada wameishia mitini, mtihani mzito huo, wengi hvy vitamb ni sbb hiyo wakitoa mimba tumbo halirudi! Cjui kweli wadada watatuambia!

hilo la mstari ni kweli na vitumbo pia, nasema japo na mm ni ke
 
....muulize utajua akikwambia,sioni ishu ya upelelezi hapo...
 
Ipo njia nayo pia ni ngumu. Mwanamke ambaye hajawahi kushika mimba cervix inakuwa na alama ya nukta (.). Ila ambaye ameshashika mimba inakuwa ana alama ya desh (-). Tafuta daktari akusaidie kujua muonekano wa hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom