sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,491
Msinitukane tafadhali, ningependa kujua juu ya hili suala maana ishu ya kutoa mimba ina madhara makubwa hasa kama imefanyika zaidi ya mara moja. Ni njia zipi au ni sehemu zipi za kumchunguza uliye naye ili kubaini kama alishafanya huo uovu? Mwenye uelewa tafadhali anijulishe na wengine pia wafahamu maana dunia ya sasa ni noma! Siku hizi kuna artificial bikin! Nimepeleka jf doctor ckupata huko jibu!