Naomba msaada, Screen yaLaptop Ina Rangi ya Pinc

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Tafadhali husika na kichwa Cha Uzi huu. Awali Nilidhani Ni "dark mode" lakini siyo. Nilinunua kwa mtu ikiwa hivyo
 
Ulinunua ikiwa hivyo?? Hukuuliza ina shida gani? Huenda wino umevujia
 
IMG_20230501_150011_310.jpg
 
Jaribu kwenda kwenye dispaly settings, au Graphics settings then cheza na "hue and saturation"
 
Rgb rangi inayotumika ama standard ifananiayo ikikosekana rangi ya kijani hutokea hivyo.

Depositphotos_78832566_s-2015.jpg

Zikiwepo zote 3 ndio kioo kinaonekana cheupe, ukiona nyeupe imekua replaced na Magenta (hio kama pink) ujue kijani imekosekana.

Mara nyingi tatizo hilo husababishwa na mkanda/waya unao connect machine na display.

Ila kuhakiki zaidi tumia monitor ya nje, kama monitor pia inakua pink ina maana tatizo lipo deep zaidi maybe gpu ya Laptop im3zingua, ila kama monitor ya nje inaonesha vizuri ni cable tu ya display.
 
Duh! Ngoja nitafute monitor alafu nitaleta marejesho
 
Back
Top Bottom