Airbag ya gari yako inashida master, kwahio hapo hataa ikatokea ajali hio airbag haiwezi deploy. Inaeza kua imesababishwa na kua kuna sensor zimeanza kufa, wiring za mchongo na mengine. Vizuri uende kwa mtaalam ajue shida niniNaomba msaada hi taa inawaka kwenye Dashboard hi Kama mtu kakaa kabeba jiwe inaashiria Kuna shida gani? Imeniwakia leo asubuiView attachment 2171094
Air bag deactivated.Naomba msaada hi taa inawaka kwenye Dashboard hi Kama mtu kakaa kabeba jiwe inaashiria Kuna shida gani? Imeniwakia leo asubuiView attachment 2171094
Airbag system imezingua. Hio taa ya pili kama umefunga mkanda na bado inawaka basi nadhan zinahusiana coz sensor ya kusense hio system ya mkanda huwa inatumiwa na Airbag system pia.Naomba msaada hi taa inawaka kwenye Dashboard hi Kama mtu kakaa kabeba jiwe inaashiria Kuna shida gani? Imeniwakia leo asubuhi.
View attachment 2171094
Me, I don't care about Airbag this... Airbag that...Airbag system imezingua. Hio taa ya pili kama umefunga mkanda na bado inawaka basi nadhan zinahusiana coz sensor ya kusense hio system ya mkanda huwa inatumiwa na Airbag system pia.
Nenda kwa auto electrician apime thn akague wiring. Airbag zinasaidia sana siku ukipata ajali inayohusisha front impact
Okay.Me, I don't care about Airbag this... Airbag that...
If it happens I get an accident, Lord will help me!
ukifanikiwa kutatua hili tatizo,nijulishe na mimi mkuu..ninalo miezi 2 sasa.Naomba msaada hi taa inawaka kwenye Dashboard hi Kama mtu kakaa kabeba jiwe inaashiria Kuna shida gani? Imeniwakia leo asubuhi.
View attachment 2171094