Naomba msaada, taa inawaka kwenye Dashboard

Naomba msaada, taa inawaka kwenye Dashboard

mojamo

Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
68
Reaction score
118
Naomba msaada hi taa inawaka kwenye Dashboard hi Kama mtu kakaa kabeba jiwe inaashiria Kuna shida gani? Imeniwakia leo asubuhi.

IMG_20220401_065806_3.jpeg
 
Naomba msaada hi taa inawaka kwenye Dashboard hi Kama mtu kakaa kabeba jiwe inaashiria Kuna shida gani? Imeniwakia leo asubuiView attachment 2171094
Airbag ya gari yako inashida master, kwahio hapo hataa ikatokea ajali hio airbag haiwezi deploy. Inaeza kua imesababishwa na kua kuna sensor zimeanza kufa, wiring za mchongo na mengine. Vizuri uende kwa mtaalam ajue shida nini
 
Naomba msaada hi taa inawaka kwenye Dashboard hi Kama mtu kakaa kabeba jiwe inaashiria Kuna shida gani? Imeniwakia leo asubuhi.

View attachment 2171094
Airbag system imezingua. Hio taa ya pili kama umefunga mkanda na bado inawaka basi nadhan zinahusiana coz sensor ya kusense hio system ya mkanda huwa inatumiwa na Airbag system pia.

Nenda kwa auto electrician apime thn akague wiring. Airbag zinasaidia sana siku ukipata ajali inayohusisha front impact
 
Me, I don't care about Airbag this... Airbag that...

If it happens I get an accident, Lord will help me!
 
Back
Top Bottom