Naomba msaada taratibu za ushuru wa magari

NGABHAGHILA

Senior Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
140
Reaction score
31
Wana jamvi ninaomba msaada kujua gharama halisi za ushuru kwa TRA pale unapoagiza gari nje ya nchi, chukulia gharama za kununua ni dola 990, ukijumlisha na CIF na Inspectin inafika labda dola 2400 je gharamaa zingine hapo ni za nini ukindoa kupata namba ya gari? Vinginevyo niaombmnisaiie kujua mchanganuo wa gharama za ununuzi wa gari iliyotumika.
 
Ili usaidiwe utuambie ni aina gani ya gari, mwaka uliotengenezwa hilo gari na uwezo wa engine (cc) ya hiyo gari. Baada ya hapo utapata makadirio ya gari lako
 
Nashukuru, nakutumia muda c mrefu
 
Ili usaidiwe utuambie ni aina gani ya gari, mwaka uliotengenezwa hilo gari na uwezo wa engine (cc) ya hiyo gari. Baada ya hapo utapata makadirio ya gari lako

Ni SUZUKI ESUDO, ya mwaka 1999, cc 1990. CIF na Inpection imeonyesha ni dola 2747
 
Ushuru TRA ni 85% ya bei ya kuagizia, agent fee Ni 250,000Tshs, name kuna gharama za port charge,bima, na registration jumla kuu si chini ya 4.2mil
 
Ni SUZUKI ESUDO, ya mwaka 1999, cc 1990. CIF na Inpection imeonyesha ni dola 2747

Kama ni TD11W kodi pekee ni tsh 4,867,050 na kama ni TL52W kodi ni 5,445,243 pia kama TD62 kodi ni 5,779,541 hayo ni makadirio yanayoenda na ukweli kama hujaelewa sehemu uliza
 
Nakushukuru sana tena sana, nimekuelewa ndugu YANGU.
 
hapo juu sijaelewa wakuu, nielezeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…