NGABHAGHILA
Senior Member
- Feb 26, 2014
- 140
- 31
Wana jamvi ninaomba msaada kujua gharama halisi za ushuru kwa TRA pale unapoagiza gari nje ya nchi, chukulia gharama za kununua ni dola 990, ukijumlisha na CIF na Inspectin inafika labda dola 2400 je gharamaa zingine hapo ni za nini ukindoa kupata namba ya gari? Vinginevyo niaombmnisaiie kujua mchanganuo wa gharama za ununuzi wa gari iliyotumika.