Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu, mi nilimaliza kidato cha 6 mwaka 2012 comb ya PCM nkapata B ya maths na S za chem na physics. kutokana na hali ngumu nyumbani mwaka huu nili reseat physics nkapata C. Nimeapply t.c.u baada ya tar.31nkaski mda umeongezwa, ilikua tarehe 2 nkachange selection zangu 2nd choice nkaeka 1st na 1st choice nkaeka 2nd mana m naishi kijijini nkapewa taarifa mda umeongezwa ad tarehe 6. dah leo naingia account yangu wanadai sijafanya application na link ya selection program haionekani na wameniekea eti niapply 2nd round dah na kozi walizoniekea nichague second round sijazipenda ata 1, najuta elimu imenishinda na nyumban maskini, ui ndo mwisho wa kusoma tena. naumia sana tena sana dahhhhh.
jamani mm najaribu kuapply second round inagoma kabisa nifanyeje? tatizo ni nn?