Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Wakuu, leo nimeingia kwenye profile yangu ya t.c.u nikakuta selection program eti haipo na nkienda kwenye view my selection status inadai eti sijafanya application na wameniletea link ya second round application, msaada jaman wakuu mana nahisi kufa

Life is too short.....Piga second round maybe it's your fate
 
Jamani wazoefu naomba mtusaidie...

Kwa wengine mlioona second round application. Profile zenu ziko vipi??
 
Mm c mzoefu na miongon mwa walo apply km nyinyi bt kwa kuangalia 2 leo account zote zitasoma "APPROVED" km c sasa japo baadae ili ujue una vgezo au huna so wale wenzang tuloambiwa "not yet processed" tuangalie kila mda tujue nn tunafanya ili kesho ianze second selection n maoni yang 2
 
Sasa iweje wengine bado a/c ziko processed wengine waambiwe not yet done any selektion mbaka second round
 
sasa kwangu majanga jaman. niliambia YOU HAVE NOT DONE APPLICATION.
Ila baada dk km 20 nilifungua tena prof langu
kwenye selection status kuna Not yet processed
na kwenye Met min requirement kuna PROCESSED.
Hii ndo nn jaman
 
Makosa 2 ya kiufund hayo hata mm ilintokea lakin ukitaka kujua km kozi uloandika huna vgezo jaribu kwenda pale kwenye iyo PROCESSED weka mouse pointer ukiona hujaambiwa kitu sawa ila yakikaa maandish ujue kwisha
 
Na mimi niliambiwa hivyo ni balaaaa tupu, alafu vyuo unavyoletewa hata havujulikani kama vipo Tanzania hii
 
daaaah,mm natumia cmu,kuna mda iliniletea yes,yes,yes, but now processed
 
Wadogo zangu niwashauri kwa nyie mlioandikiwa not done yet application ni kwamba kati ya zile koz tano ulizoomba haujapata kutokana na ushindani na nafasi kujaa mnatakiwa kujaza hiyo kozi moja tu ambayo kama utakua umekizi vigezo utapata hyo hyo na ukichelewa nafasi zinajaa kwa maana hiyo ukijaza moja na fasi zinapungu na zikijaa kozi itaondoka automatic
 
Makosa 2 ya kiufund hayo hata mm ilintokea lakin ukitaka kujua km kozi uloandika huna vgezo jaribu kwenda pale kwenye iyo PROCESSED weka mouse pointer ukiona hujaambiwa kitu sawa ila yakikaa maandish ujue kwisha

kwisha nn tena
 
elimu kwa kweli basi dah. yan apa nataman kufa kufa dah

Usikate tamaaa, kuwa mvumilivu kwani sio wew tu mwenye matatizo, nimeshapitia thread nying zinazohusu TCU ni kweli umepata mshtuko japo na mm nimeambiwa hivyo lakin cjakata tamaaa
 
Sasa iweje wengine bado a/c ziko processed wengine waambiwe not yet done any selektion mbaka second round

Wewe ambaye umekuta koz zako zpo vilevle umeshachaguliwa moja kati ya hizo ulizojaza na ambae kaandliwa not yet done asubiri second round na kujaza ni kozi moja tu na ndo ambayo utakua umeipata
 
Back
Top Bottom