Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

HATA MWAKA JANA WALITUANDIKIA. .NOT YET DONE APPLICATION..LKN ILIKUA SUALA LA KIUFUNDI..ACHEN PRESHA..mambo yatakaa sawa... kwa wale mtaochaguliwa UDSM...karibuni...
 
jaman second round aplication za tcu ni lini au saa ngap manake kuna kitu cha first come first serve basis ntakufa kwa presha
 
Pole mkuu lakini uwe unaingia mara kwa mara kwenye ac yako TCU but hakuna anayejua ni kuanzia time zipi.
 
madogo msijari lazima muwe na ufahamu kuwa ile ni softwere so it work according to programming code of instraction commanded muwe na utulivu hasa wakati huu usiguseguse hizo koz ziliZo wekwa hapo maana ukibonyeza ikakubali haijarish ni kiswahil au coz gan unataka hutaki utachaguliwa maana hakuna mkono wa mtu ,so ushauri tulieni softwere will instract what next haija wah na hakuna mtu atakae kosa kwa uzoefu wangu ijapo si msemaji wa tcu.but i have experience na softwre hz.fro st.joseph university III YEAR
 
nimejaribu nkaambia ama not eligible ila nikijatibu tena inaniambia error nifanyeje wdau nimehanganyikiwa
 
Umu wanasema u have successifully been selected but swali ni kwamba ukiclick pale kwenye application unakuta page ya second selection
 
tulio appy kupitia cheti cha diploma asubuh kulikua na maandishi yanasema mchakato umefungwa tar 6 any update nitajulishwa kwa e mail.

saa tisa nimeingia tena yale maandishi yamebadilika yanasema naweza ku edit kozi zangu nilizochagua hadi tar 12.

tcu hata hawaeleweki.
 
Umu wanasema u have successifully been selected but swali ni kwamba ukiclick pale kwenye application unakuta page ya second selection


Duuh hiyo mbona haieleweki aisee. ...labda uende ofisini kwao au wajuzi kama Shardcole. Njoo utupe uelekeo kwa walioandikiwa second round application
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="width: 619"]
[/TABLE]
[TABLE="width: 630, align: center"]
[TR]
[TD="width: 12%"]
Code​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Description​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
Institution​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
Priority​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Selection Status​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
Met Min Requirement​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 630, align: center"]
[TR]
[TD="width: 12%"]
SM005​
[/TD]
[TD="width: 19%"]
Bachelor of Education (Arts)​
[/TD]
[TD="width: 20%"]
Stefano Moshi Memorial University College​
[/TD]
[TD="width: 10%"]
1​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
IN PROGRESS​
[/TD]
[TD="width: 16%"]
PROCESSED​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


YOU ARE NOT ELIGIBLE FOR THE ABOVE PROGRAM.PLEASE click here TO REMOVE IT AND RE-APPLY ndio nimefanya second round muda sio mrefu nikibofya pale kwenye click here inagoma kuleta maelezo ili nibadili tena na nikiweka cusor pale kwenye processed wananambia nisubiri eligibility sasa nashindwa kuelewa naombeni msaada
 
Daaaaa kaka mm nimefanya wameniambia u have been selected so hapo cjaelewa ww imekuwqje
 
kama hujui kama umekoxea tcu ntumie jna lako kamil nkuchek nna majna 12862 yawanaotakiwa kufanya application tena na mwsho kesho xo tuma jna lako kamili nkuchekie ili kujua kama nawe umeshkwa
 
Jamani my profile wameandika processed
mwenye taarifa anisaidie juu ya majibu hayo mwenzie presha iko juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…