Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi mpk jion tutakuwa tushajua mbivu na mbichi
mimi nimeandikiwa maelezo kwa chini kwamba
PROCESSED SUCCESSFULLY. YOU HAVE BEEN SELECTED
na mimi nimeiona sasa hivi. Tusubiri chuo gani tunapelekwa.
duuuuuuuuuuhh....!!!!!
na mm nimeipata hiyo.
Ila 2nd round tuwaombee jmn.
Kwang imeandika u have been selected Lkn haitaji chuo chochote,, wala haijaonyesha eligibility
Daah pole sana sasa itabidi uwe sharp maana wanasema hapo atakae wahi ndo atachukua nafasi. Kila la heri.
Sasa you are not selected please click here for re apply for the second round , ila nimeenda uko nachagua nikitaka ku comfirm ipo faint pia kitu kingine kuna coz niliichagua afu second round naiona tena na uku first round ilikataa je nikiomba tena inakuaje?
Mpaka hatua hii unaweza kufahamu kozi uliyochaguliwa kwa kufanya hivi:
weka "mouse"yako kwenye code ya kozi uliyoichagua, zile ile inayoonyesha figures za capavity available,applicant applied nk nfiyo uliyopata, zinazoonyesha Ziro ie. capacity available up to now 0.....yaani kila kitu ni 0 hiyo holaaaaaa,umekosa.
Source: mimi ni mtu wa "machale"!
Hayo sio machale bali ni makengeza yako....wala sio hivyo hapo ni error tu kwenye system zao itabadilika
"Tupinge" mkuu!?