Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

hohoho thnx God .... i have been selected.....








..........so wat next jamani
 
Hahahaha umejuaje.
...ila kuna ndugu zetu wa second round application
 
duuuuuuuuuuhh....!!!!!
na mm nimeipata hiyo.
Ila 2nd round tuwaombee jmn.


Daah pole sana sasa itabidi uwe sharp maana wanasema hapo atakae wahi ndo atachukua nafasi. Kila la heri.
 
Sasa you are not selected please click here for re apply for the second round , ila nimeenda uko nachagua nikitaka ku comfirm ipo faint pia kitu kingine kuna coz niliichagua afu second round naiona tena na uku first round ilikataa je nikiomba tena inakuaje?

kumbe tupo wengi
 
Mpaka hatua hii unaweza kufahamu kozi uliyochaguliwa kwa kufanya hivi:
weka "mouse"yako kwenye code ya kozi uliyoichagua,ile inayoonyesha figures za capavity available,applicants applied nk ndiyo uliyopata, zinazoonyesha Ziro ie. capacity available up to now 0.....yaani kila kitu ni 0 hiyo holaaaaaa,umekosa.
Source: mimi ni mtu wa "machale"!
 
Mpaka hatua hii unaweza kufahamu kozi uliyochaguliwa kwa kufanya hivi:
weka "mouse"yako kwenye code ya kozi uliyoichagua, zile ile inayoonyesha figures za capavity available,applicant applied nk nfiyo uliyopata, zinazoonyesha Ziro ie. capacity available up to now 0.....yaani kila kitu ni 0 hiyo holaaaaaa,umekosa.
Source: mimi ni mtu wa "machale"!



Hayo sio machale bali ni makengeza yako....wala sio hivyo hapo ni error tu kwenye system zao itabadilika
 
Unapoandika habari za tcu kwa dakika hizi you should be brief and understandable. Sasa hapo umeandika kama unakurupushwa
 
Back
Top Bottom