Naomba msaada: TRA wamenikadiria kulipa kodi kubwa kuliko uwezo wa biashara

Kama ni mfanyabiashara mkubwa Fanya kitu kinaitwa tax appeal, ndo njia pekee, ila unaifanya ukiwa tayar umeshalipa kodi, wanakurudishia kodi iliozidi hakuna namna nyingne ndugu TRA sio mchezo, waweza fungu kweli ukapata hasara
Fanya jambo moja tu, lipa kodi then kata rufaa.
Fuata tax appeal procedures
Waone tax consultant wakujitegemea
Mkuu biashara yangu ni ndogo tu ya kuzungushia hela ya Mboga.
Inatufanya tuishi na kulipa kodi na mtaji kukua taratibu
 
Mkuu upo mkoa gani wa TRA ...sidhan kama huu udhalimu wa hv bado upo TRA ni kweli TRA wanafigisufigisu zao ila si za kukukadiria mara 3 Ya mtaji wako ...Jaribu kutembelea dawati la Elimu kwa mlipa kodi lipo takriban kila TRA ofisi kwa msaada zaidi
Bosi nilikuwa alioa 186000 mwaka Jana na Ndio nilianza hiyo biashara.
Mwaka huu wamekadiria 569000 na sielewi wametumia kigezo Gani??
Kwa faida ninayoipata mwaka mzima Kwenye hiyo biashara ntakuwa nawafanyia wao kazi.
Niliwaandikia barua wameireject bila sababu yoyote.
Naambiwa tu unatakiwa kuilipa!!
Mkadiriaji alitumia tu hesabu Zake za darasani kukadiria mtaji na kusahau kuwa Maisha halisi hayasomi vitabu.
Mtaji aliouweka Kwenye makaratasi ni Mara tatu ya mtaji halisi ambao upo Kwenye mzunguko Kwa sasa
 
Usifunge biashara kwani utazidi kupunguza idadi ya Walipa kodi, na ni juzi tu Kamishna aliongea kwa uchungu kuhusu idadi ndogo ya Walipa kodi.
Sasa wasitake kutuumiza wakati tuko hivo.
Nipe kodi ninayostahili.
Kodi unapangiwa kubwa Kuliko hata unakojumua mzigo??
 
Ninafanya biashara ya reja reja sehemu ninayoishi, nauza nguo za watoto.
Mwaka huu TRA wamenikadiria kulipa kodi kubwa Kuliko uwezo wa biashara ninayoifanya.
Mtaji ulioabdikwa kwamba ndio uko Kwenye mzunguko ni Kama Mara tatu ya mtaji halisi. Walikadiria tu kama kawaida yao.

Niliandika barua kwa meneja kuomba kukadiriwa upya jibu nililopewa ni Kama ushauri WA nguvu za Giza.
Kwanza nilipelekwa tena Kwa wanaohusika na makadirio alipofika Kule akanambia unachotakiwa ni kulipa kodi tu.
Hayo mengine ntajijua mwenyewe.

Nimefikiria hata kuwaandikia barua ya kufunga biashara hivyo waniondoe Kwenye list ya walipa kodi kwa sasa.

Naombeni ushauri, kuna hatua gani nyingine naweza kufanya??
Natanguliza shukrani.
Jifunze kufanya kazi na wataalam wa ushauri wa kodi (Tax consultants) watakusaidia sana, hata mimi nilikuwa na matatizo hayo sana lakini kwa sasa yamekwisha, siku TRA wakija ofisini basi nainua simu namwita mtaalam wangu anakuja kuongea nao.
Kodi ina vipengele vingi sana huwezi kuvijua vyote, ni kama kwenye mambo ya sheria unakuwa na Wakili ( Advocate)
 
Bosi nilikuwa alioa 186000 mwaka Jana na Ndio nilianza hiyo biashara.
Mwaka huu wamekadiria 569000 na sielewi wametumia kigezo Gani??
Kwa faida ninayoipata mwaka mzima Kwenye hiyo biashara ntakuwa nawafanyia wao kazi.
Niliwaandikia barua wameireject bila sababu yoyote.
Naambiwa tu unatakiwa kuilipa!!
Mkadiriaji alitumia tu hesabu Zake za darasani kukadiria mtaji na kusahau kuwa Maisha halisi hayasomi vitabu.
Mtaji aliouweka Kwenye makaratasi ni Mara tatu ya mtaji halisi ambao upo Kwenye mzunguko Kwa sasa
Bado nakushauri utembelee dawati la mlipa kodi maana Pango la sehemu Ya biashara nalo huongeza thaman Ya kodi TRA wanafigisu sana mkuu ila Tusiache kulipa kodi ndo Tunajenga nchi hvYo
 
mimi mwenyewe hayo yamenikuta,,mpaka sasa sijalipa,,naona nitafunga tu biashara hakuna namna
 
Huu utaratibu ndio uliotufikisha hapa tulipo.

Ni hatari sana.
mkuu kwenye biashara ili ufanikiwe unatakiwa uwe na fungu la kulainisha biashara,ukitaka kufuatisha tozo na kodi za tz yaani huwezi kutoboa kabisaa
pia ukiwa mfanyabiashara uwe na urafiki na tra wala usiwaone maadui hapo mambo yataenda tu
 
Makadilio yanatokana na jinsi ulivyojieleza! Kwanza wanaangalia unafanya biashara gani, kodi ya pango unalipaje? kama umesema Flem laki 2 wana assume huwezi lipa flem laki mbili ukawa na mtaji wa laki 5, na siajabu ukasema kuwa una mfanyakazi unamlipa! Kiufupi taarifa unayotoa ndio inayotumika kukukadilia
 
Wadau wa Jf kuna fursa katika kampuni inayoitwa Bitco International ...
kampuni hii inahusika na investment ya coin iitwayo Bitcoin ambapo utainvest hela yako na utapata return ya 3% kila siku kwa muda wa siku 50.Bitcoin ni coin maarufu sana kwenye mataifa ya ulaya na America kwa muda mrefu sasa na pia imeanza kutumika katika matumizi ya kawaida kama fedha nyingine huko kwa wenzetu.
hii fursa ni real na na watu wanaendesha maisha yao kupitia bitco international.Kwa hapa kwetu Tanzania fursa hii bado ngeni ,ila wachache walioichangamkia wananufaika ikiwamo na mimi.

Uthubutu ni kitu muhimu sana katika mafanikio ya mwanadamu,nawashauri msikubali hii fursa iwapite .

kwa yeyote ambaye atahitaji maelezo ya kina na kujiunga anitafute kwa namba hii 0712 799747 au whatsapp kwa namba hiyo hiyo ,mimi nipo Dar.
 
Usifunge biashara kwani utazidi kupunguza idadi ya Walipa kodi, na ni juzi tu Kamishna aliongea kwa uchungu kuhusu idadi ndogo ya Walipa kodi.
Afunge tu mkuu ili tujifunze tunakosea wapi maana mtu anakwenda kwao hawamsikilizi wanasema alipe tu bora mapato yashuke ilitujitatmini upya
 
Ninafanya biashara ya reja reja sehemu ninayoishi, nauza nguo za watoto.
Mwaka huu TRA wamenikadiria kulipa kodi kubwa Kuliko uwezo wa biashara ninayoifanya.
Mtaji ulioabdikwa kwamba ndio uko Kwenye mzunguko ni Kama Mara tatu ya mtaji halisi. Walikadiria tu kama kawaida yao.

Niliandika barua kwa meneja kuomba kukadiriwa upya jibu nililopewa ni Kama ushauri WA nguvu za Giza.
Kwanza nilipelekwa tena Kwa wanaohusika na makadirio alipofika Kule akanambia unachotakiwa ni kulipa kodi tu.
Hayo mengine ntajijua mwenyewe.

Nimefikiria hata kuwaandikia barua ya kufunga biashara hivyo waniondoe Kwenye list ya walipa kodi kwa sasa.

Naombeni ushauri, kuna hatua gani nyingine naweza kufanya??
Natanguliza shukrani.
Mi nimefunga biashara nimebadili biashara nimefungua tena kwa jina la wife wakafanya makadilio upya kodi imepungua kidogo. Ila deni lao bado wanaesabu na wataendelea kudai na sitolipa labda wanipige roba nilipe kwa lazima.
 
Wadau wa Jf kuna fursa katika kampuni inayoitwa Bitco International ...
kampuni hii inahusika na investment ya coin iitwayo Bitcoin ambapo utainvest hela yako na utapata return ya 3% kila siku kwa muda wa siku 50.Bitcoin ni coin maarufu sana kwenye mataifa ya ulaya na America kwa muda mrefu sasa na pia imeanza kutumika katika matumizi ya kawaida kama fedha nyingine huko kwa wenzetu.
hii fursa ni real na na watu wanaendesha maisha yao kupitia bitco international.Kwa hapa kwetu Tanzania fursa hii bado ngeni ,ila wachache walioichangamkia wananufaika ikiwamo na mimi.

Uthubutu ni kitu muhimu sana katika mafanikio ya mwanadamu,nawashauri msikubali hii fursa iwapite .

kwa yeyote ambaye atahitaji maelezo ya kina na kujiunga anitafute kwa namba hii 0712 799747 au whatsapp kwa namba hiyo hiyo ,mimi nipo Dar.
Hahahaaaa. Aise ndugu zangu wanajf siwashauri watu wajiunge na Aina hii mpya ya wizi.

HIZI ZINAITWA NI MINING COMPANY.

AMBAZO NI PONZY.

BITCOIN NI SARAFU MAARUFU SANA HAPA DUNIANI.

LAKINI INATUMIWA NA HIZI KAMPUNI KULAIBIA WATU,

NUNUENI BITCOIN NA KUZIHIFADHI KTK WALLET ZENU na sio kuwekeza kwenye sites Kama hizi ambazo mwisho wa siku sites hufungwa na kukimbia na pesa za watu.
 
Wadau wa Jf kuna fursa katika kampuni inayoitwa Bitco International ...
kampuni hii inahusika na investment ya coin iitwayo Bitcoin ambapo utainvest hela yako na utapata return ya 3% kila siku kwa muda wa siku 50.Bitcoin ni coin maarufu sana kwenye mataifa ya ulaya na America kwa muda mrefu sasa na pia imeanza kutumika katika matumizi ya kawaida kama fedha nyingine huko kwa wenzetu.
hii fursa ni real na na watu wanaendesha maisha yao kupitia bitco international.Kwa hapa kwetu Tanzania fursa hii bado ngeni ,ila wachache walioichangamkia wananufaika ikiwamo na mimi.

Uthubutu ni kitu muhimu sana katika mafanikio ya mwanadamu,nawashauri msikubali hii fursa iwapite .

kwa yeyote ambaye atahitaji maelezo ya kina na kujiunga anitafute kwa namba hii 0712 799747 au whatsapp kwa namba hiyo hiyo ,mimi nipo Dar.
Hebu toka hapa na wewe
 
Back
Top Bottom