naomba msaada;uso kuwa mweusi sana

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
883
Reaction score
1,291
naomba msaada wa kitaalamu,mimi rangi yangu ni maji ya kunde ,lakini uso wangu unakuwa mweusi mno,hasa nnapopigwa na jua,nilijaribu kusoma kwenye internet nnagundua nna tatizo la hyperpigmentation(too much melanin),kwani hata nywele zangu ni nyeusi sana,hadi watu wanasema nimepaka black,naomba msaada kuhusu hili,yaan huku kwingine ni rangi yangu ila kwenye sura ndo kuna hiyo kasoro,
 
Kwahiyo ww unataka kudharau rangi yako?unataka kumkosoa mungu kwa kupata COSMETICS?Kwa nn waafrika 2nadharau rangi zetu?U HAVE TO PROUD URSELF!
 

Hiyo sio kasoro wewe usikae sana juani afu ishi kwenye kiyoyozi kama unaona hiyo si ishu kwako.

Mapaja vipi yanang'aaa?
 
Hiyo sio kasoro wewe usikae sana juani afu ishi kwenye kiyoyozi kama unaona hiyo si ishu kwako.

Mapaja vipi yanang'aaa?

teh teh teh, yatakuwa yanameremeta bwana, si hayako direct in sunlight
 
Huenda labda hiyo ndio rangi yako halisi imeamua kujidhihirisha wazi wazi usoni.
Inavyoonekana wewe hupendi rangi nyeusi bali unapenda weupe!!
Ingekuwaje kama rangi ya uso wako ingekuwa inazidi kuwa nyeupe zaidi badala ya kubaki nyeusi(maji ya kunde!!), je ungeona kama ni tatizo?
 
Hiyo sio kasoro wewe usikae sana juani afu ishi kwenye kiyoyozi kama unaona hiyo si ishu kwako.

Mapaja vipi yanang'aaa?

teh teh teh, yatakuwa yanameremeta bwana, si hayako direct in sunlight
 
Je, ulishawahi kutumia vipodozi vya kuifanya ngozi yako usoni kuwa nyeupe?

Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya niligundua kuwa watu wengi waliowahi kutumia vipodozi(mkorogo) vyenye kuwafanya kuwa weupe usoni mwisho wa siku walikuja kuwa weusi zaidi usoni hususani walipoacha kuvitumia au vilipowakataa.

Otherwise kuna magonjwa fulani wa ngozi(Autoimmunity skin disease, Drug side effect, Chronic systemic disease, Adrenal gland dysfunction, Genetic/Inborn error) ambayo yanaweza kukufanya kuwa mweusi zaidi usoni hususani ukipigwa na jua kali. Kwa mfano SLE, Porphyria, TB-Adrenal gland, KS.

*Ushauri wangu nenda hospitali na ikiwezekana onana na mtaalam wa Magonjwa ya Ngozi.
 
Hiyo sio kasoro wewe usikae sana juani afu ishi kwenye kiyoyozi kama unaona hiyo si ishu kwako.

Mapaja vipi yanang'aaa?
Watu weusi tuna matatizo; kwanini umefikiria mapaja na si kiungo kingine cha mwili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…