Mb-one
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 883
- 1,291
naomba msaada wa kitaalamu,mimi rangi yangu ni maji ya kunde ,lakini uso wangu unakuwa mweusi mno,hasa nnapopigwa na jua,nilijaribu kusoma kwenye internet nnagundua nna tatizo la hyperpigmentation(too much melanin),kwani hata nywele zangu ni nyeusi sana,hadi watu wanasema nimepaka black,naomba msaada kuhusu hili,yaan huku kwingine ni rangi yangu ila kwenye sura ndo kuna hiyo kasoro,