Mtuniwatu
Member
- Jan 24, 2023
- 45
- 133
Habari zenu wanajukwaa!
Mie Ni kijana wa kitanzania.
Shida yangu nakuja kwenu kuomba Ajira mwenye kuweza kunisaidia iwe kwa kuniunganisha mahala nitashukuru.
Nina Hali mbaya mno ndugu mpaka inafikia hatua nakunywa uji nalala na familia yangu ya watoto wawili ,yaani mpaka nalia mbele ya wanangu Mana nimesoma kwa nguvu mno kuwa nije niwe na maisha mazuri Ila mpaka kula tu inakuwa kazi. Jamani haya maisha mpaka unajiuliza kuwa umekosea wapi. Umri wangu mie Ni mtu mzima Mana Niko late 30s.
1-Ninaweza kufundisha Basic maths na physics vizuri mno Niko tayari kujitoa ili watoto watoe majibu kuwa wanaridhika namie.
Hapa kwenye kufundisha niko tayari kuingia mktaba na mwajiri anilipe kulingana navyofaulisha watoto,yaani Kama fomu two nipewe baadaye akipata matokeo ndio aamue kunilipa ama asinilipe. Aniambie kuwa F haitakiwi kabisa kwenye fizikia ama hesabu Niko tayari muda huo ananilipa hela ya kununua chakula Cha familia namie nakula jamani. Hapa Niko serious Nina uwezo wa kutosha na ninajiamini kabisa hili sibabaishi. Hasahasa olevo advance labda mpaka niji brush mwaka mzima akiwa amenipangia olevo nafundisha. Niko tayari kufundisha mpaka nje muda wa kazi yaani kukesha na watoto ninao uwezo huo. Nina uhakika nitaleta matokeo chanya kwenye shule yako.
2- Naweza kusimamia site ya ujenzi Kama foreman.
3- Ninaweza nikafanya Kama labour kwenye site za ujenzi na mahala popote ninaombeni Niko tayari kufanya kazi za kuvuja jasho.
4- Ninaweza selling services Ile skills kumshawishi mteja ninayo hapa Niko tayari kujitoa ili mwajiri akiridhika namie tunafanya kazi Mana Nina uhakika nitaongeza thamani kwake.
5-komputa naweza kutumia pia na flow English bila ya Ile ya yes and no,Mara of course.
6-Ninaamini mtu Ni watu so watu ndio wanaokusaidia ama wanakunyanyua baadaye jini la kiburi linatuingilia na kuleta dharau kwa watu wanaokuletea ridhiki.
Ahsanteni kwa ushirikiano wenu.
Kama mtu anahitaji mawasiliwano yangu anaweza akaniambia nikamtumia pm.
Hapa chini naambatanisha vyeti vyangu Cha olevo, advance na chuo.
Soma Mrejesho: Shukrani kwa member aliyenisaidia