Naomba msaada wa ajira au connection

Naomba msaada wa ajira au connection

Shalom wapendwa, anatafutwa Mwalimu anayeweza kufundisha masomo ya Chemistry na Mathematics, shule inaitwa Little Ways Secondary School ipo Wanging'ombe (Njombe). Mawasiliano
0754594407 (Mkuu wa shule)
0745289690 (mtaaluma)
C&P
 
Ahsante ndugu
 
Mkuu pole kwa unayoyapitia ila nina imani utafanikiwa soon.

Nina swali kidogo, hapo juu inaonesha una bachelor degree ya Civil engineering, lakini kwenye wasifu wako umeelezea zaidi kazi unayoiweza sana na kujiamini ambayo ni kufundisha. Vipi huna sifa za kuajiliwa as a Civil Engineer kama proffesional?
 
Nimeweka ivyo Mana kuajiri Engineer kwa watu wengi Ni cost kwao. Pia na demand iliyopo ya walimu wa fizikia na maths na Ni kitu nachoweza kukifanya. Pia nikaweka na foreman site Mana hizo Ni rahisi ku afford kuwa na mfanyakazi ,mpaka nikaweka na kibarua. What am looking is just to survive and nothing else.

So why nijikite nionekane kuwa nahitaji kukaa kwa kiyoyozi ndugu wakati hata alfu moja ya kununua viazi/mihogo Nile na wanangu inasumbua.
 
Mkuu hujajibu swali vizuri, vipi hujawahi kufanya kazi as a civil Engineer? hujasajiliwa na bodi kama professional/Graduate engineer? hauna experience kabisa as a civil engineer? Kama unayo iweke hapa niione!
 
1-Nimefanya kazi as civil Engineer na ndio Nimefanya kuanzia nimehitimu chuo. Nimefanya Kama QA/QC. Mambo mengine naweza nikakuwekea pm Ila Naona unataka hapa hapa so Kuna mengine sintoweza kuweka. Nimeshaajiriwa na Tanroad kwa contract na ninayo certificate ya kazi.

2-Nimesajiliwa na Erb as GE na cheti kipo. Pia naomba unielewe emotionally siko poa kwa Mana ya njaa sijui wanaita stress Mana kuona familia yako hasa wanao wakishinda njaa unakuwa frustrated unakuwa uko tayari kufanya lolote lile ilimradi mkono uende kinywani.

3-experience ninayo site Engineer Ila mambo ya road ndio Niko poa ama nimezoea Mana kuanzia nianze Nimefanya kazi road kiasi kikubwa kwa kwa wakandarasi.

Hapa road na Imani unajua Kuna pipe/box culverts na gravel,dsd,drainage structures, earthworks,and pavement road. Ile kuchukua drawing from client nakuwa najua anachotaka kifanyike na unapiga hesabu za cement/nondo kiasi gani mafundi wanapewa wanaanza kuzisuka.

4-Design ya structural inabidi kwanza nishikwe mkono Ila Ni ndani ya muda mfupi mno nakuwa nimesha capture. Mana nikiamua kujifunza Jambo mpaka kula sihisi njaa. Yaani nikipewa BS books na architectural drawings nauliza maswali kadhaa Basi nadhani namsumbua aliyenishika mkono ndani ya mwezi ama wiki kadhaa mana nina uwezo wa kufanya kazi masaa 24. Na civil sio ngumu huwa Ni marudio Ni kwa vile sijapata sehemu/mazingira ya kupractice iyo structural.

5-kama unayo sehemu nisaidie nifanye Kama volunteer unaniwezesha ku survive nadhani unaweza ukanijaji ndani ya mwezi mmoja mpaka mitatu Kama mie mzigo kwako ama faida. Nitakuwa huru kuondoka kiroho Safi ndugu. But am sure I won't leave your office you'll love to stay with me. I know I've to be paid by value that I bring to employer and not by time,age or my certificates. Unaweza ukawa na mtu Hana certificates zozote Ila akawa Ni wa faida kwako. So mie sio mtu wa kujivunia mavyeti yangu na nacheki muda kuwa Ila nacheki kuwa Kuna value gani naiongeza kwako mkuu.

Kama Ni muelewa unaweza unanielewa kuwa hata hapa naandika il am unstable equilibrium emotionally.
Sijui Kama nitakuwa nimejibu swali lako. Kama bado niulize ama nije pm tupeane simu namba tuongee unisikie kabisa Kama upo willing to help me.
 
Habari zenu wanajukwaa!

Mie Ni kijana wa kitanzania.

Shida yangu nakuja kwenu kuomba Ajira mwenye kuweza kunisaidia iwe kwa kuniunganisha mahala nitashukuru.

Nina Hali mbaya mno ndugu mpaka inafikia hatua nakunywa uji nalala na familia yangu ya watoto wawili ,yaani mpaka nalia mbele ya wanangu Mana nimesoma kwa nguvu mno kuwa nije niwe na maisha mazuri Ila mpaka kula tu inakuwa kazi. Jamani haya maisha mpaka unajiuliza kuwa umekosea wapi. Umri wangu mie Ni mtu mzima Mana Niko late 30s.

1-Ninaweza kufundisha Basic maths na physics vizuri mno Niko tayari kujitoa ili watoto watoe majibu kuwa wanaridhika namie.

Hapa kwenye kufundisha niko tayari kuingia mktaba na mwajiri anilipe kulingana navyofaulisha watoto,yaani Kama fomu two nipewe baadaye akipata matokeo ndio aamue kunilipa ama asinilipe. Aniambie kuwa F haitakiwi kabisa kwenye fizikia ama hesabu Niko tayari muda huo ananilipa hela ya kununua chakula Cha familia namie nakula jamani. Hapa Niko serious Nina uwezo wa kutosha na ninajiamini kabisa hili sibabaishi. Hasahasa olevo advance labda mpaka niji brush mwaka mzima akiwa amenipangia olevo nafundisha. Niko tayari kufundisha mpaka nje muda wa kazi yaani kukesha na watoto ninao uwezo huo. Nina uhakika nitaleta matokeo chanya kwenye shule yako.

2- Naweza kusimamia site ya ujenzi Kama foreman.

3- Ninaweza nikafanya Kama labour kwenye site za ujenzi na mahala popote ninaombeni Niko tayari kufanya kazi za kuvuja jasho.

4- Ninaweza selling services Ile skills kumshawishi mteja ninayo hapa Niko tayari kujitoa ili mwajiri akiridhika namie tunafanya kazi Mana Nina uhakika nitaongeza thamani kwake.

5-komputa naweza kutumia pia na flow English bila ya Ile ya yes and no,Mara of course.

6-Ninaamini mtu Ni watu so watu ndio wanaokusaidia ama wanakunyanyua baadaye jini la kiburi linatuingilia na kuleta dharau kwa watu wanaokuletea ridhiki.

Ahsanteni kwa ushirikiano wenu.

Kama mtu anahitaji mawasiliwano yangu anaweza akaniambia nikamtumia pm.

Hapa chini naambatanisha vyeti vyangu Cha olevo, advance na chuo.

View attachment 2493805
View attachment 2493808
View attachment 2493810
Pole sana mdogo wangu! Naomba uje PM nikupe mawasiliano ya watu wawili hivi,kama utapenda nenda kafanye kazi za sales wanalipa sio chini ya 1M!

Kampuni moja ni ya majani ya chai na ngingine ni wachina wapo pale mtaa wa lindi wana stationary,wanauza mizigo yao kwa jumla jumla!
 
Jaribu Apo Kaka.
Screenshot_20230126-161339.jpg
 
1-Nimefanya kazi as civil Engineer na ndio Nimefanya kuanzia nimehitimu chuo. Nimefanya Kama QA/QC. Mambo mengine naweza nikakuwekea pm Ila Naona unataka hapa hapa so Kuna mengine sintoweza kuweka. Nimeshaajiriwa na Tanroad kwa contract na ninayo certificate ya kazi.
2-Nimesajiliwa na Erb as GE na cheti kipo. Pia naomba unielewe emotionally siko poa kwa Mana ya njaa sijui wanaita stress Mana kuona familia yako hasa wanao wakishinda njaa unakuwa frustrated unakuwa uko tayari kufanya lolote lile ilimradi mkono uende kinywani.
3-experience ninayo site Engineer Ila mambo ya road ndio Niko poa ama nimezoea Mana kuanzia nianze Nimefanya kazi road kiasi kikubwa kwa kwa wakandarasi.
Hapa road na Imani unajua Kuna pipe/box culverts na gravel,dsd,drainage structures, earthworks,and pavement road. Ile kuchukua drawing from client nakuwa najua anachotaka kifanyike na unapiga hesabu za cement/nondo kiasi gani mafundi wanapewa wanaanza kuzisuka.
4-Design ya structural inabidi kwanza nishikwe mkono Ila Ni ndani ya muda mfupi mno nakuwa nimesha capture. Mana nikiamua kujifunza Jambo mpaka kula sihisi njaa.
Yaani nikipewa BS books na architectural drawings nauliza maswali kadhaa Basi nadhani namsumbua aliyenishika mkono ndani ya mwezi ama wiki kadhaa mana nina uwezo wa kufanya kazi masaa 24.
Na civil sio ngumu huwa Ni marudio Ni kwa vile sijapata sehemu/mazingira ya kupractice iyo structural.
5-kama unayo sehemu nisaidie nifanye Kama volunteer unaniwezesha ku survive nadhani unaweza ukanijaji ndani ya mwezi mmoja mpaka mitatu Kama mie mzigo kwako ama faida. Nitakuwa huru kuondoka kiroho Safi ndugu. But am sure I won't leave your office you'll love to stay with me. I know I've to be paid by value that I bring to employer and not by time,age or my certificates. Unaweza ukawa na mtu Hana certificates zozote Ila akawa Ni wa faida kwako. So mie sio mtu wa kujivunia mavyeti yangu na nacheki muda kuwa Ila nacheki kuwa Kuna value gani naiongeza kwako mkuu.
Kama Ni muelewa unaweza unanielewa kuwa hata hapa naandika il am unstable equilibrium emotionally.
Sijui Kama nitakuwa nimejibu swali lako. Kama bado niulize ama nije pm tupeane simu namba tuongee unisikie kabisa Kama upo willing to help me.
Asante kwa majibu yaliyojipangilia Kiongozi, mimi ni Civil Engineer kama wewe, nmetoka CoET kama wewe.. siwezi kusema naweza kukuajiri kwa sababu hata mie mambo hayako poa sana kwa sasa. ila nina ushauri kwako..

1. Sioni kama inafaa sana kudeal na kufundisha... naomba urudi kwenye field yako kwa sababu maslahi yapo poa sana.
2.Nicheki PM unipe namba (ya Whatsapp itapendeza zaidi) nikuchekie kazi kwa Mkandarasi 500K-700K kwa mwezi hukosi.
3. Tunaomba uaminifu mkubwa kutoka kwako, isije ikawa kuna tabia zingine ambazo hazivumiliki, i.e Wizi n.k

Nakutakia Kila la Kheri
 
Hapana mkuu ninaweza nikadhaminiwa na watu ambao wanafanya kazi serikalini tuliosoma nao wananijua a to z
 
Pole sana mdogo wangu! Naomba uje PM nikupe mawasiliano ya watu wawili hivi,kama utapenda nenda kafanye kazi za sales wanalipa sio chini ya 1M!

Kampuni moja ni ya majani ya chai na ngingine ni wachina wapo pale mtaa wa lindi wana stationary,wanauza mizigo yao kwa jumla jumla!
Brother naomba na mimi nije PM ,issue yangu ni ya ajira pia
 
Back
Top Bottom