Naomba msaada wa ajira au connection

1. Sioni kama inafaa sana kudeal na kufundisha... naomba urudi kwenye field yako kwa sababu maslahi yapo poa sana.
Thank you kwa ushauri wako ndugu na nimeshakucheki pm.
Ila during dangerous situations for any animal/living creature in this universe/planet is operating in survival mode i.e flight ,freeze or fight back just to survive/live and nothing more/less.
 
Kwa kweli skuiz hata usome vp kama huna connection tunaishia kujuta na kusaga meno mtaani , ila sishangai mana tupo wengi ushauri wangu izo kazi za kufundisha achana nazo utakuja kutolewa kwa sababu hujasomea Education sana sana labda tuition ila shuleni wakaguzi wakija utafukuzwa.
 

Ila during dangerous situations for any animal/living creature in this universe/planet is operating in survival mode i.e flight ,freeze or fight back just to survive/live and nothing more/less.
 
Mkuu kwanza pole sana maana changamoto ya kuwa jobless sio poa kabisa. Ila Mkuu kuna maswali nimejiuliza nkakosa majibu vizuri

1. Uliwahi kuajiriwa mahali popote?
2. Ilikuwaje ukatoka kwenye hiyo ajira?

Binafsi ningependa kufahamu haya hata kwa kujibiwa PM.
 
Ahsante mno Nina maumivu na stress juu so ubongo wangu hauwazi poa nadhani.
Ngoja nikujibu hapa hapa ili na mwingine mwenye swali Kama Ilo pia aweze kuelewa.
1- Ndio nimeshawahi kuajiliwa.
2- contract inaisha ama kazi aliyopewa mkandarasi na serikali inamuishia.
Pia elewa wakandarasi wengine wanafanya kazi na mhandisi pale wanapobanwa tu na serikali na ndio Mana nimetanguliza kuwa foreman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…