Naomba msaada wa ajira/kazi/kibarua

Naomba msaada wa ajira/kazi/kibarua

Hot27

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
372
Reaction score
691
Habari za wakati huu wanajukwaa!?
Sidhani kama huu ni uziwangu wa kwanza jukwaani juu ya maombi ya kazi. Mimi ni kijana (ME 23) ninaishi Dar es salaam, nimetoka chuo mwakajana ila sikufanikiwa kumaliza (juu ya changamoto zilizonipata) hivyo mwakahuu mwezi wa 11 nitaenda kumalizia mtihani wangu, nimesomea Mass Communication and Public relations.
Nia ya kujakwenu waungwana ni kwa mwenye connection ya Kazi/ajira/kibarua aweze kunisaidia maana hali ni tight mtaani.

Mimi ni muaminifu na mchapakazi haswa.
Ninazungumza na kusoma lugha mbili (Swahili&English).
Ninaweza kuendana na mazingira ama kujifunza kwa urahisi.
Nina ujuzi na graphics design, Communication skills, broadcasting, excellent customer service.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
NB: Nafasi hata ilio nje ya fani yangu naweza fanya pia
MUNGU AWE NANYI NYOTE
 
Unaweza kubeba mifuko ya cement kushusha kwenye gari zinazotoka kiwandani kijana?
 
Back
Top Bottom