Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Upendo wa wana JF umenipa hamasa ya kutaka kujua group nililopo. Nitafurahi Kama hii post itaendelea kuwa juu ionwe na wengi zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kipindi ktk maongezi daktari aliniambia kuna chama cha wenye group o- hapa tanzania huwaga wanasaidiana.anaitwa dokta mazigo yupo tmj ila namba yake sina nilichange simu.jaribu kuulizia tmj may be unaweza kupata lolote..all the best
Ndugu zangu baba yangu ni mgonjwa sana yupo hindul mandal, tumeshahangaika kama familia kupata damu tumeshindwa!!! Nawaombeni ndugu zangu mnisaidie!!! 0714148504 plz mbarikiwe sana.
Jamani bado sijapata!!! Naendelea kusisitiza nisaidieni kuokoa maisha ya baba yangu wapendwa!
Ndugu zangu baba yangu ni mgonjwa sana yupo hindul mandal, tumeshahangaika kama familia kupata damu tumeshindwa!!! Nawaombeni ndugu zangu mnisaidie!!! 0714148504 plz mbarikiwe sana.
Mchumba wangu mimi ni O Rh- unayotaka. Nina uhakika na hilo kwa kuwa ipo hadi kwenye kadi yake ya Clinic ambayo nimeishika mkononi hivi sasa. Tatizo ana Mimba ya miezi kama 6 na nusu anakaribia saba. Je kuna complication yoyote? Ni mpole na ananisikiliza kwa kila kitu kumshawishi haitokuwa ngumu.
Nambie kama vipi aje leo.